Viongozi wa CHADEMA kufunga mkutano wa kampeni Kalenga wakiwa na hangover za club la party

HOJA YAKO HAINA MANTIKI. HIZO NI PERSONAL AFFAIRS ZA MTU BINAFSI. HAKUWA ANAFANYA CMP ALIKUWA ANASTAREHE BAADA YA MUDA WA KAZI.
Rushia Picha tuone kama sio uzushi.

Kampeni za Kalenga zinahitimishwa leo lakini viongozi wa Chadema wakiongozwa na Godbless Lema jana walikuwa Club Laparte Iringa mjini wakila maisha ,wakinywa pombe kali na wasichana wawili wawili kwa mtu aliyekuwepo wale wadada inaonekana ni wadada wa ki Arusha.

Moja ya Kitu ambacho viongozi hao wa Chadema walishangaza watu ni kuwa na Nguo zao za chama (Magwanda ) na kuonekana kupata shida na mabaunsa kila walipotaka kwenda na kinywaji kwenye Dancing Flow.

Wakionekana kuburudika zaidi kwa kucheza muziki kwa fujo wakiwa wameshikilia viuno vya mabinti wawili wawili viongozi hao walionekana kuchizika ama kukereka pale Dj alipopiga wimbo mmoja wa kizazi kipya unaoitwa Ridhwani kwani walikuwa wakicheza kwa kuweka vidole viwili juu na kuvizungusha sana.

Wasiwasi wangu juu ya tukio hilo la uwepo wao wa Club na kulewa kupita kiasi pamoja na kuwa na hao mabinti ni dhahiri hawakupata muda wa kutafakari namna gani wanaweza kumaliza Kampeni kalenga kwa kusema sera zenye kujenga na si porojo hasa za kuzalilisha watoto wadogo kama lema alivyoonekana kwenye mkutano wa siasa anachukua watoto ambao nguo zimechanika na kutengeneza hoja kwa hao watoto ambapo kimsingi si haki ni kuwadhalilisha na kama Lema angekuwa na uchungu huo anaosema angeanza pale kwake kwani kuna maelfu ya watotot hawajui wanakula nini, wanavaa nini na yeye akiwa kama mbunge hana msaada kwao, kuna watu kutoka Arusha wamesema Lema kama Mbunge hajawahi kushiriki shughuli za kimaendeleo hata siku moja.
 
Ovyooooooooo mtu mzima kujifanya kuwadi maana huwa hata hajui uandike nini kwa ukuwadi mwingi
Ooovyoooo
 
Mwenyekiti wao anamiliki night club unatarajia nini? Lema ni kansa, ni aibu kumtaja sambamba na Arusha jiji la wasomi.
 
Hawa Chadema wapo kwenye ziara ya Fiesta.
Ulitaka wawe kama Mwigulu kule Igunga? Mwaka wa shetani huu, na Chalinze kimeshaanza kunuka vilevile........Wazigua wanadai mulimuua mbunge wao ili weak we're muendelee kuwatawala..........sasa heri ya Masai kuliko ------ ...hayo ndio maneno yao kwenye vijiwe vyetu vile.....
 
Kampeni za Kalenga zinahitimishwa leo lakini viongozi wa Chadema wakiongozwa na Godbless Lema jana walikuwa Club Laparte Iringa mjini wakila maisha ,wakinywa pombe kali na wasichana wawili wawili kwa mtu aliyekuwepo wale wadada inaonekana ni wadada wa ki Arusha.

Moja ya Kitu ambacho viongozi hao wa Chadema walishangaza watu ni kuwa na Nguo zao za chama (Magwanda ) na kuonekana kupata shida na mabaunsa kila walipotaka kwenda na kinywaji kwenye Dancing Flow.

Wakionekana kuburudika zaidi kwa kucheza muziki kwa fujo wakiwa wameshikilia viuno vya mabinti wawili wawili viongozi hao walionekana kuchizika ama kukereka pale Dj alipopiga wimbo mmoja wa kizazi kipya unaoitwa Ridhwani kwani walikuwa wakicheza kwa kuweka vidole viwili juu na kuvizungusha sana.

Wasiwasi wangu juu ya tukio hilo la uwepo wao wa Club na kulewa kupita kiasi pamoja na kuwa na hao mabinti ni dhahiri hawakupata muda wa kutafakari namna gani wanaweza kumaliza Kampeni kalenga kwa kusema sera zenye kujenga na si porojo hasa za kuzalilisha watoto wadogo kama lema alivyoonekana kwenye mkutano wa siasa anachukua watoto ambao nguo zimechanika na kutengeneza hoja kwa hao watoto ambapo kimsingi si haki ni kuwadhalilisha na kama Lema angekuwa na uchungu huo anaosema angeanza pale kwake kwani kuna maelfu ya watotot hawajui wanakula nini, wanavaa nini na yeye akiwa kama mbunge hana msaada kwao, kuna watu kutoka Arusha wamesema Lema kama Mbunge hajawahi kushiriki shughuli za kimaendeleo hata siku moja.

We ni KE/ME?
 
Amakweli magamba hamjitambui, unakosa cha kutupia hapa jamvini na kuleta uharo mtupu.husirudie tena kutuletea uharo hapa jamvini.
 
Back
Top Bottom