Viongozi wa CHADEMA kikaoni na IGP kwa R.P.C Iringa

Please makene naomba Dr amueleze kinaga ubaga huyo MWEMA jinsi anavyokikandamiza CHADEMA kwa kisingizio cha SENSA wakati FIESTA inakusanya watu wengi inaruhusiwa na inapewa ulinzi na POLISI.

Said mwema ni ZUZU mkubwa, wameamua kuua watanzania kwa maslahi yao binafsi. kwa nini mkusanyiko wa FIESTA uwe halali hadi ulindwe na polisi huku ukiwa umekusanya na watoto halafu mpaka saa 3 za usiku???? halafu wakati huohuo mkusanyiko wa WANACHAMA WA CHADEMA tena halali kwa mujibu wa katiba uwe haramu at the same time??? MWEMA LAZIMA AJUE KWAMBA WATANZANIA TUNAMUONA ANAVYOKUNYWA DAMU ZETU MCHANA KWEUPE, NA LAZIMA AKUMBUKE MALIPO NI HAPAHAPA DUNIANI??? WANATOA WAPI UJASIRI WA KUMSHINDILIA MTU BOMU HALI YA KUWA WANAE MIKONONI MWAO??? KWANI ALIKUWA ANAWAKIMBIA??? THIS IS OBVIOUS UNYWAJI WA DAMU ZA WATU HADHARANI, SIKU WATANZANIA TUKIAMUA NASI TUTAKUNYWA DAMU ZENU NYIE POLISI, DON'T FOULISHLY THINK YOU ARE THAT MUCH SAFE WITH THOSE GUNS YOU ARE HOLDING.
 
CHADEMA wasikubali kubembelezwa wala kughibiwa kwa kigezo cha kulinda masalahi ya taifa. haki itendeke kwanza kwa kuwakamata polisi waliohusika then round table ifuate. Mwema hapo katumwa na JK na anakuja kupooza hizo habari ili wananchi wasijue ukweli. Naomba hapa iwe nafasi ya kuganga vidonda na machungu yoote waliyoisababishia CHADEMA kuanzia Arusha 2011, morogoro juzi na Iringa kwa Mwangosi. Mkijidai kuingia kwenye makubaliano tu mjue kesho kutwa mabomu mengine mnayo ni bora hapo mtoke draw mkijua hakuna makubalino yatakayofanya polisi waache kuwapiga mabomu ni bora muwasema mtoke bila makubaliano kwani kukubaliana na kutokubaliana yote ni sawa.
 
If we don't want to go to the basics, who is going to be a loser in this game of political chasing? Wengine sio wana siasa ila siasa zinatuburuza kama zilivyomtokea yule mchuuzi wa magazeti Morogoro
 
hivi fiesta imekusanya watu jana usiku hadi saa 3 na wakalindwa na polisi
walikokuwa wanafungua tawi mchana kweupe wao wanaathiri zoezi la sensa lakini fiesta haiathiri
kweli watanzania tunafanywa kama majuha.
makene ubairikiwe baba tujuze zaidi kinachojiri huku katika duru za kikao hicho.

Sio fiesta tu hata shughuli za kisiasa zinaendelea ,kampeni bububu na uchaguzi wa viongozi ccm vinaendelea kwa kuwa wao ni watanzania zaidi kuliko wafuasi wa vyama vingine,ni aibu kwa ccm,policcm na dhaifu government
 
CHADEMA wasikubali kubembelezwa wala kughibiwa kwa kigezo cha kulinda masalahi ya taifa. haki itendeke kwanza kwa kuwakamata polisi waliohusika then round table ifuate. Mwema hapo katumwa na JK na anakuja kupooza hizo habari ili wananchi wasijue ukweli. Naomba hapa iwe nafasi ya kuganga vidonda na machungu yoote waliyoisababishia CHADEMA kuanzia Arusha 2011, morogoro juzi na Iringa kwa Mwangosi. Mkijidai kuingia kwenye makubaliano tu mjue kesho kutwa mabomu mengine mnayo ni bora hapo mtoke draw mkijua hakuna makubalino yatakayofanya polisi waache kuwapiga mabomu ni bora muwasema mtoke bila makubaliano kwani kukubaliana na kutokubaliana yote ni sawa.

I can easily say That, this is a planned Murder!! Huwezi kuwa unatibu ya Morogoro Huku Ukifumua Utumbo wa raia mwingine on just the next day!! The same people
 
hata wakiunda tumw itasaidia nini?
Kwa nini wasingetumia busara kabla hawajatumia nguvu?
 
Hao ma-rpc wa mikoa husika lazima washitakiwe kwa mauaji la napendekeza ICC ijulishwe na ngo ya haki za binadamu iliyomsaidia Dr ulimboka. La roho za watu zitazidi kupotea bure
.

NGO wamelianzisha mara kibao nyie mpo tu kwenye Keyboard, mnadhani watajitokeza leo.
 
Hakuna haja ya tume picha zina muonyesha polisi akimupiga risasi mwandishi........na hiyo tume hatuitaki iundwe policcm walioua tunataka tume huru......Dr.slaa namwamini hatalegeza...mwema ni kada wa ccm anakifanya sio maslai ya wananchi ni ccm

Hata kama ni kutetea ugali wake siyo kwenye maisha ya mtu, je na hii yenye picha watasema ni mtu alimpiga na kitu kizito?
 
Hakuna haja ya tume picha zina muonyesha polisi akimupiga risasi mwandishi........na hiyo tume hatuitaki iundwe policcm walioua tunataka tume huru......Dr.slaa namwamini hatalegeza...mwema ni kada wa ccm anakifanya sio maslai ya wananchi ni ccm

IGP Said Mwema Munisi siyo tu kada wa chama cha MAGAMBA ila pia ni Bwa'shee wa Mkuu wa Kaya.
 
Agenda nzuri ni
1)Kulipiza visasi kwa Makamanda wa policcm, hasa wanapokuwa Bar au nyumba ndogo
2)Kulipiza visasi kwa Mama/Baba zao, Wake/Waume zao, Kaka/Dada zao ikishindikana basi na watoto zao
3)kuwatafuta kila kona kuanzia madukani, nyumba za ibada, mashuleni na kuwakata visu na kuacha alama ya ccm

Mkuu usiseme kuwalipizia ndugu zao kwani huenda hata hao ndugu zao wanawapinga kwa mambo yao wanayoendelea kuyafanya kwahiyo ni vyema kukomaa nao wenyewe
 
bahati mbaya marehemu hatatoa utetezi wake.

Marehemu utetezi autowe wapi? wapo walio hai, wengine wapo kikaoni, wengine tupo mtandaoni. Tutawasikia wakitoka huko kwani sisi bado hatujawa maiti tupo njiani kuelekea huko.
 
wananchi wanayo haki kimsingi ya kujua kiini cha mauaji haya,ni vema igp na huyo rpc waka step down kupisha uchunguzi huru,maisha yana thamani kubwa sana na ni zawadi toka kwa mungu,hivi ukishakuwa askari na kukabidhiwa silaha una haki ya kuua hovyo?Hivi mtaua raia wema kwa kisingizio cha CDM mpaka lini?Kwa nini mnabeba silaha wakati raia hawana hata manati?Matumizi haya ya nguvu na ubabe huu mpaka lini?MKISHATUMALIZA WOTE NA NYIE MTAGEUKANA MUANZE KUUANA WENYEWE KWA WENYEWE?Inaniuma sana.Kuna siku mawe yatapiga kelele.
 
Back
Top Bottom