Viongozi wa CHADEMA - Heche, Mnyika na Silinde ndani ya Chuo Kikuu Mzumbe Morogoro!

Haya maneno yako muda si mrefu utakuja kuyajutia, ukiwa muungwana utakujja kukiri hadharani lakini usipokuwa muungwana utakiri kimoyomoyo.

Ni mwaka juzi tu mwezi october mwenyekiti wako alikuwa akiibeza chadema kuwa ni chama cha msimu, lakini sasahivi anatamani chadema isambaratike ili apumue!

bado kuna vichwa hewa wachache waliojilisha upupu kichwani kua bdm ni chama cha kaskazini,cdm ni chama cha udini,ukiona mtu kama huyo hachana nae,maana hawezi kuelimishika tena!dar,mbeya,mwanza,iringa sijui ni kaskazini huko!
 
Hawana jeuri hiyo. Wao ni kaskazini tu.... wanashindwa kujua kuwa nchi yetu haina mfumo wa vyama vya kisianza vya majimbo bali vinatakiwa kuwa vya kitaifa.
hapa hoja si swala la upupu wako wa kaskazini hoja ni kazi walioenda kufanya hawa vijana na ikumbukwe wamealikwa hawajaenda kupotosha mbona wewe unaweza kula hata kinyesi cha magamba?
 
Taarifa nilizozipokea hivi punde ni kuwa viongozi kadhaa wa Chadema wanaingia mjini Morogoro muda huu kufanya mkutano Chuo Kikuu Mzumbe kwa mwaliko wa Umoja wa Wanafunzi wa vyuo vya elimu ya wanaChadema tawi la Chuo Kikuu Mzumbe.

Msafara huo unawajumuisha Makamanda John Heche(M/kiti Bavicha), John Mnyika(Mbunge Ubungo) na David Silinde(Mbunge Mbozi Magharibi).

Agenda za mkutano ni pamoja na matatizo ya wanafunzi wa elimu ya juu,Mgomo wa madaktari, katiba mpya, mfumko wa bei, pamoja na mengine mengi.

Kwa wale mliopo morogoro mnakaribishwa chuo kikuu mzumbe kusikiliza ujumbe toka kwa makamanda.
ahsante kwa taarifa mkuu
 
Back
Top Bottom