Bukoba: Viongozi wa CHADEMA Mjini wakamatwa na Jeshi la Polisi

Missile of the Nation

JF-Expert Member
May 24, 2018
13,498
51,090
Taarifa kutoka Bukoba mjini zinasema kuwa Jeshi la Polisi mkoani Kagera limewakamata viongozi wa CHADEMA na makada wa chama hicho waliokuwa wanafanya kikao cha kawaida katika ofisi za CHADEMA mkoani humo.

Hivyo ndivyo Jeshi la Simon Sirro lilivyogeuka kuwa jeshi la uonevu, uonevu huu mpaka unatia aibu hii ni too much.

Sijui Serikali hii ya Tanzania inatafuta nini, Sijui hii Serikali inataka nini kwa kweli. Hii ni too much!

CDM Bukoba.JPG
 
Taarifa kutoka bukoba mjini zinasema kuwa jeshi la Polisi mkoani zkagera limewakamata viongozi wa Chadema na mskada wa chama hicho waliokuwa wanafanya kikao cha kawaida katika ofisi za Chadema mkoani humo.

Hivyo ndivyo Jeshi la Simon Sirro lilivyogeuka kuwa jeshi la uonevu, uonevu huu mpaka unatia aibu hii ni too much.

Sijui Serikali hii ya Tanzania inatafuta nini, Sijui hii serikali inataka nini kwa kweli. Hii ni too much!
Amani ya Tanzania ni Muhimu sana kuliko wafuasi wa chadema.
nawaonya wafuasi wa chadema popote pale mlipo ni bora uchezee kitambi chako au mzuzu wako wa ndevu lkn kamwe msijaribu kuchezea Amani ya Taifa letu, mtachakazwa bila hurumu.
 
Binafsi nawaonea uruma Sana hasa awa police wa vyeo vya chini , Wengine wanafanya Basi tu amri umetoka KWa mkubwa wao, Sasa awa ni ndugu zetu , nikionacho mbele itafika mda wataingia Katika migogoro na familia zetu ,hasa wapenda haki, hii inakuja, watu wamechoka,

Watashangaa wao na ndugu zao mawasiliano yanakatika ghafla , hakuna Cha Salam Wala nini, binafsi naliona linakuja,
 
Amani ya Tanzania ni Muhimu sana kuliko wafuasi wa chadema.
nawaonya wafuasi wa chadema popote pale mlipo ni bora uchezee kitambi chako au mzuzu wako wa ndevu lkn kamwe msijaribu kuchezea Amani ya Taifa letu, mtachakazwa bila hurumu.
mkuu amani gani inayozungumziwa hapo?
 
Amani ya Tanzania ni Muhimu sana kuliko wafuasi wa chadema.
nawaonya wafuasi wa chadema popote pale mlipo ni bora uchezee kitambi chako au mzuzu wako wa ndevu lkn kamwe msijaribu kuchezea Amani ya Taifa letu, mtachakazwa bila hurumu.
Makalio ya......
 
Tena nasema mwananchi yeyote mzalendo asivumilie vitendo vinavyo.fanywa na hawa wahuni, tulisaidie Jeshi letu kuwafichua popote pale walipo wanapo panga mipango yao ya kuleta vurugu.
 
Taarifa kutoka bukoba mjini zinasema kuwa jeshi la Polisi mkoani zkagera limewakamata viongozi wa Chadema na mskada wa chama hicho waliokuwa wanafanya kikao cha kawaida katika ofisi za Chadema mkoani humo.

Hivyo ndivyo Jeshi la Simon Sirro lilivyogeuka kuwa jeshi la uonevu, uonevu huu mpaka unatia aibu hii ni too much.

Sijui Serikali hii ya Tanzania inatafuta nini, Sijui hii serikali inataka nini kwa kweli. Hii ni too much!
Jeshi la kigaidi hili. Hapa hakuna polisi.
 
Amani ya Tanzania ni Muhimu sana kuliko wafuasi wa chadema.
nawaonya wafuasi wa chadema popote pale mlipo ni bora uchezee kitambi chako au mzuzu wako wa ndevu lkn kamwe msijaribu kuchezea Amani ya Taifa letu, mtachakazwa bila hurumu.
Huna akili kabisa.
 
Back
Top Bottom