Viongozi wa CCM waliochota pesa za Escrow (sio za umma) ambapo sheria inawakamata Seth na Ruge na kuwaacha wengine

WAFUATAO WALICHOTEWA MABILIONI YA ESCROW KUTOKA KWENYE ACCOUNT YA RUGEMALIRA: KWA NINI HAWASHTAKIWI?

WANASIASA
Andrew Chenge (MB) CCM - Bilioni 1.6
Anna Tibaijuka (MB) CCM - Bilioni 1.6
Paul Kimiti (CCM) - Milioni 40.4
William Ngeleja (MB) CCM - Milioni 40.4
Daniel Yona (CCM). - Milioni 40.4

MAJAJI
Jaji Mujulizi - Milioni 40.4
Jaji Ruhangisa - Milioni 404.25

WATUMISHI WA UMMA
Mkurugenzi Mkuu TIC, Emanuel Daniel Ole Naiko - Milioni 40.4
Lucy Appollo (TRA) - Milioni 80.8
Dkt. Enos Bukuku (Mjumbe Bodi Ya Tanesco).
Philip Saiboko (RITA) - Milioni 40.4

VIONGOZI WA DINI
Askofu Msaidizi Jimbo Katoliki La Bukoba, Methodius Kilaini - Milioni 80.9
Askofu Msaidizi Jimbo Kuu Katoliki La DSM, Alphonce Twimannye Simon - Milioni 40.4

Mkurugenzi wa TAKUKURU wakati huo alisema kuwa kurudisha fedha zilizochotwa katika akaunti ya Tegeta Escrow hakumsafishi mtu dhidi ya tuhuma za uhujumu uchumi zinazomkabili na kusisitiza kuwa ni lazima sheria ichukue mkondo wake bila kujali cheo cha mtuhumiwa.

Swali ni Je mbona ni miaka mitatu sasa tangu Kalasinga Seth na James Rugemalira wakamatwe kwa tuhuma za uhujumu uchumi, mbona hawa washirika wakuu wa ufisadi huu bado wangali uraiani wakila maisha wengine bungeni na hata wengine Makanisani?

Kwa nini walioshirikiana uhujumu uchumi na Seth na Rugemalira wao wapo mtaani wanakula maisha Bungeni na hata Makanisani?

Wakati mmiliki wa Kampuni ya Kufua Umeme ya IPTL, Kalasinga Habinder Sethi na Mfanyabiashara James Rugemarila wao wameendelea kusota rumande kwa mwaka wa tatu sasa kwa kile kinachoitwa eti ni kutokana na upelelezi wa kesi yao ya utakatishaji fedha kutokamilika katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu ambapo Hakimu Mwaikambo ameahirisha kesi hiyo hadi Oktober 10, 2019 na washitakiwa wamerudishwa rumande.
_
Washitakiwa kwa pamoja wanakabiliwa na mashitaka 12 yakiwemo ya utakatishaji fedha na kusababisha hasara ya Dola za Marekani Milioni 22,198,544.60 na Sh.Bilioni 309,461,300,158.27 ambapo kwa mara ya kwanza walifikishwa Mahakamani hapo Juni 19, 2017.
...
Mtemi Andrew Chenge, Mbunge wa Bariadi (CCM) aliwahi kusema hadharani kwamba "wakumkamata yupo lakini haoni mtu wa kumshitaki". Na kweli hadi leo si kukamatwa tu bali hata kushtakiwa hajashtakiwa.

Ni katika ufisadi huu tulimsikia Anna Tibaijuka ambaye ni Mbunge wa Muleba Kusini (CCM) akisema zile bilioni 1.6 alizochotewa na Rugemalira ni " tuhela twa mboga". Tukamsikia Chenge akisema alichopewa yeye ni vijisenti tu. Yaani kama bilioni 1.6 aliyopewa Change ni vijisenti tu hebu jiulize hao wengine ambao hawatajwi katika huu ufisadi walipewa nini? Na pengine ndio sababu ya Chenge kusema wa kumkamata yupo Ila haoni wa kumshtaki kwa kuwa anajua akishtakiwa ataenda kuchomoa betrii katikati ya hekaheka za uchotaji mafuta na wote wataungulia humo. Na pengine ndio sababu badala ya Chenge kukamatwa na kushtakiwa amepewa cheo cha kua Mwenyekiti wa Bunge katika Bunge na Serikali inayojinasibu kupambana na UFISADI.

Binafsi sina tatizo na kuwekwa ndani Seth na Rugemalira, tatizo langu ni KWA NINI WALIOSHIRIKIANA NA HAWA JAMAA WAPO KITAAN WANAKULA MAISHA na hata wengine tunawaona huko Bunge? Orodha ya washirika wa ufisadi huu iliwekwa wazi na kiwango cha pesa mafisadi wenza walichochotewa, wengine ni Maaskofu. Mbona wako uraiani.

William Ngeleja, Mbunge wa Sengerema (CCM) alitangaza kurudisha fedha alizochotewa, tukasikia kila mtu akizikana si TRA sio nani. Leo nani anajua zile fedha alizotapika Ngeleja ziko wapi?

Leo nasikia na Prof. Anna Tibaijuka naye kashikwa na kichefuchefu na kutangaza kutapika zile bilioni 1.6 (hela za mboga). Sijui nazo kila mtu atazikana?

Can you imagine watu wako gerezani miaka mitatu sasa kwa kile kinachoitwa upelelezi haujakamilika, alafu leo mtu anatokea na kusema njooni kwangu mtubu enyi wenye DHAMBI na kulemewa na mizigo, mlipe mpate UHURU kwa maana nira yangu ni laini na mzigo wangu ni mwepesi. Lazima tujiulize ni nani anachelewesha kesi hizi, ni nani anachelewesha ushahidi na upelelezi. Je ni upande wa upelelezi, serikali au Mahakama? Kwa nini hatua zisichukuliwe ikiwa kuna nia ya dhati?

Ni vigumu kuamini unaweza washitaki hawa bila kuwashitaki/kuwahusisha walioshirikiana nao ambao ushahidi wa nyaraka uliwekwa wazi.

Bwana yule Mungu aje amlipe kutokana na matendo yake!!

Mwaka wa tatu eti upelelezi haujakamilika, na watu kila siku wanaingia kazini/ofisini na mwisho wa mwezi wanalipwa mishahara na posho!!

Hata kama kweli walifanya makosa, ila kuwaweka watu ndani miaka mitatu huku kila wakati mkidai upelelezi haujakamilika, si kuwatendea haki hata kidogo. Leo mnawaambia watu watubu watubu nini, kazi ya Mahakama ni nini? Nini lengo lililojificha nyuma ya pazia la hii toba? Je zile Mahakama za mafisadi zinafanya kazi? Je tunatafuta kwa nguvu fedha kwa ajili ya kampeni za uchaguzi?

Nawaona Kalasinga Seth na Rugemalira hawa wameamua KAMA ni kufa basi wacha wafe.
Wamesimamia KWELI ya nafsi zao. Mioyo yao imeota sugu, hawaogopi tena kulala chini, kuumwa na mbu, chawa, kunguni wala viroboto vya Jela. Wameheshimu Nafsi zao na kukubali kuwa kila mtu ataonja mauti.

Huenda anaewasababishia USUMBUFU huu akafa kabla wao hawajafa (Mungu ni Msiri) sana.

Hata wale walioshindwa kuvumilia mateso makali ya gerezani na kuamua kutubu hata kama wanajua hawana makosa au walibambikiwa kesi na kwa kuona kuwa hata hukumu ikija toka hawatopewa HAKI kutokana na kesi na ushahidi kuingiliwa basi nao Mungu ni muaminifu atawalipia kisasi.

Mene Mene Tekel na Peres!

Remmy Cameroon
Sauti ya wasio na sauti
Hapo mgawanyo ulizingatia kanuni mbili

1. KDS ( KIGAWE KIDOGO CHA SHIRIKA)
2.KKS ( KIGAWE KIKUBWA CHA SHIRIKA)

Vinginevyo naona mh. Rais ameamua kuchimbua kwanza mizizi.

Watafikiwa tu wote. Mungu ni wetu sote.
 
Hizi ndizo zile zilizokuwa zinachukuliwa pale Benki kwa viroba,aisee walizidharau sana hela kuchukulia kwenye viroba hivi ambavyo tunawekea mahindi.na mmoja alisema hizi hela siyo za umma kwa hiyo ni halali kuliwa.
 
Fedha hizo zilichotwa kupitia kwenye a/c ya wale watu kwa sababu maalum. Hata Jiwe anafahamu kuwa wale wote walikuwa ni madaraja tu. Mhusika Mkuu ni Chama Dola.
 
Nashindwa kuelewa hizo pesa ni za umma kivipi? Wakati hizo pesa zilikuwa apewe yule aliekuwa anaiuzia Tanesco umeme? Baada ya kuibuka mdeni mwingine ndio ikaamriwa ziwekwe Sehemu mpaka pale mgogoro utapoisha ndio apewe mwenye haki. Serikali inavyodai hasara ya Billion 300 ina maana huo umeme ilikuwa inatumia bure? Nijuavyo mule kulikuwa na kodi ya Serikali tu na si vinginevyo. Na Kikwete alishasema zile pesa sio za Serikali na ndio ukweli huo. Maana Tanesco walikuwa wakiuziwa umeme na IPTL
 
Hakuna Kipindi kizuri cha Bunge kama wakati mjadala wa Esrow ulipo kuwa una jadiliwa Bungeni
 
Ujatenda HAKI..mbona kuna mtu alisema Tegeta ESCROW sio za umma

Kikwete aitwe mahakamani aeleze mantiki ya yeye akiwa bado RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kutangaza hadharani kuwa zile fedha za TEGETA ESCROW hazikuwa mali ya serikali!
 
WAFUATAO WALICHOTEWA MABILIONI YA ESCROW KUTOKA KWENYE ACCOUNT YA RUGEMALIRA: KWA NINI HAWASHTAKIWI?

WANASIASA
Andrew Chenge (MB) CCM - Bilioni 1.6
Anna Tibaijuka (MB) CCM - Bilioni 1.6
Paul Kimiti (CCM) - Milioni 40.4
William Ngeleja (MB) CCM - Milioni 40.4
Daniel Yona (CCM). - Milioni 40.4

MAJAJI
Jaji Mujulizi - Milioni 40.4
Jaji Ruhangisa - Milioni 404.25

WATUMISHI WA UMMA
Mkurugenzi Mkuu TIC, Emanuel Daniel Ole Naiko - Milioni 40.4
Lucy Appollo (TRA) - Milioni 80.8
Dkt. Enos Bukuku (Mjumbe Bodi Ya Tanesco).
Philip Saiboko (RITA) - Milioni 40.4

VIONGOZI WA DINI
Askofu Msaidizi Jimbo Katoliki La Bukoba, Methodius Kilaini - Milioni 80.9
Askofu Msaidizi Jimbo Kuu Katoliki La DSM, Alphonce Twimannye Simon - Milioni 40.4

Mkurugenzi wa TAKUKURU wakati huo alisema kuwa kurudisha fedha zilizochotwa katika akaunti ya Tegeta Escrow hakumsafishi mtu dhidi ya tuhuma za uhujumu uchumi zinazomkabili na kusisitiza kuwa ni lazima sheria ichukue mkondo wake bila kujali cheo cha mtuhumiwa.

Swali ni Je mbona ni miaka mitatu sasa tangu Kalasinga Seth na James Rugemalira wakamatwe kwa tuhuma za uhujumu uchumi, mbona hawa washirika wakuu wa ufisadi huu bado wangali uraiani wakila maisha wengine bungeni na hata wengine Makanisani?

Kwa nini walioshirikiana uhujumu uchumi na Seth na Rugemalira wao wapo mtaani wanakula maisha Bungeni na hata Makanisani?

Wakati mmiliki wa Kampuni ya Kufua Umeme ya IPTL, Kalasinga Habinder Sethi na Mfanyabiashara James Rugemarila wao wameendelea kusota rumande kwa mwaka wa tatu sasa kwa kile kinachoitwa eti ni kutokana na upelelezi wa kesi yao ya utakatishaji fedha kutokamilika katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu ambapo Hakimu Mwaikambo ameahirisha kesi hiyo hadi Oktober 10, 2019 na washitakiwa wamerudishwa rumande.
_
Washitakiwa kwa pamoja wanakabiliwa na mashitaka 12 yakiwemo ya utakatishaji fedha na kusababisha hasara ya Dola za Marekani Milioni 22,198,544.60 na Sh.Bilioni 309,461,300,158.27 ambapo kwa mara ya kwanza walifikishwa Mahakamani hapo Juni 19, 2017.
...
Mtemi Andrew Chenge, Mbunge wa Bariadi (CCM) aliwahi kusema hadharani kwamba "wakumkamata yupo lakini haoni mtu wa kumshitaki". Na kweli hadi leo si kukamatwa tu bali hata kushtakiwa hajashtakiwa.

Ni katika ufisadi huu tulimsikia Anna Tibaijuka ambaye ni Mbunge wa Muleba Kusini (CCM) akisema zile bilioni 1.6 alizochotewa na Rugemalira ni " tuhela twa mboga". Tukamsikia Chenge akisema alichopewa yeye ni vijisenti tu. Yaani kama bilioni 1.6 aliyopewa Change ni vijisenti tu hebu jiulize hao wengine ambao hawatajwi katika huu ufisadi walipewa nini? Na pengine ndio sababu ya Chenge kusema wa kumkamata yupo Ila haoni wa kumshtaki kwa kuwa anajua akishtakiwa ataenda kuchomoa betrii katikati ya hekaheka za uchotaji mafuta na wote wataungulia humo. Na pengine ndio sababu badala ya Chenge kukamatwa na kushtakiwa amepewa cheo cha kua Mwenyekiti wa Bunge katika Bunge na Serikali inayojinasibu kupambana na UFISADI.

Binafsi sina tatizo na kuwekwa ndani Seth na Rugemalira, tatizo langu ni KWA NINI WALIOSHIRIKIANA NA HAWA JAMAA WAPO KITAAN WANAKULA MAISHA na hata wengine tunawaona huko Bunge? Orodha ya washirika wa ufisadi huu iliwekwa wazi na kiwango cha pesa mafisadi wenza walichochotewa, wengine ni Maaskofu. Mbona wako uraiani.

William Ngeleja, Mbunge wa Sengerema (CCM) alitangaza kurudisha fedha alizochotewa, tukasikia kila mtu akizikana si TRA sio nani. Leo nani anajua zile fedha alizotapika Ngeleja ziko wapi?

Leo nasikia na Prof. Anna Tibaijuka naye kashikwa na kichefuchefu na kutangaza kutapika zile bilioni 1.6 (hela za mboga). Sijui nazo kila mtu atazikana?

Can you imagine watu wako gerezani miaka mitatu sasa kwa kile kinachoitwa upelelezi haujakamilika, alafu leo mtu anatokea na kusema njooni kwangu mtubu enyi wenye DHAMBI na kulemewa na mizigo, mlipe mpate UHURU kwa maana nira yangu ni laini na mzigo wangu ni mwepesi. Lazima tujiulize ni nani anachelewesha kesi hizi, ni nani anachelewesha ushahidi na upelelezi. Je ni upande wa upelelezi, serikali au Mahakama? Kwa nini hatua zisichukuliwe ikiwa kuna nia ya dhati?

Ni vigumu kuamini unaweza washitaki hawa bila kuwashitaki/kuwahusisha walioshirikiana nao ambao ushahidi wa nyaraka uliwekwa wazi.

Bwana yule Mungu aje amlipe kutokana na matendo yake!!

Mwaka wa tatu eti upelelezi haujakamilika, na watu kila siku wanaingia kazini/ofisini na mwisho wa mwezi wanalipwa mishahara na posho!!

Hata kama kweli walifanya makosa, ila kuwaweka watu ndani miaka mitatu huku kila wakati mkidai upelelezi haujakamilika, si kuwatendea haki hata kidogo. Leo mnawaambia watu watubu watubu nini, kazi ya Mahakama ni nini? Nini lengo lililojificha nyuma ya pazia la hii toba? Je zile Mahakama za mafisadi zinafanya kazi? Je tunatafuta kwa nguvu fedha kwa ajili ya kampeni za uchaguzi?

Nawaona Kalasinga Seth na Rugemalira hawa wameamua KAMA ni kufa basi wacha wafe.
Wamesimamia KWELI ya nafsi zao. Mioyo yao imeota sugu, hawaogopi tena kulala chini, kuumwa na mbu, chawa, kunguni wala viroboto vya Jela. Wameheshimu Nafsi zao na kukubali kuwa kila mtu ataonja mauti.

Huenda anaewasababishia USUMBUFU huu akafa kabla wao hawajafa (Mungu ni Msiri) sana.

Hata wale walioshindwa kuvumilia mateso makali ya gerezani na kuamua kutubu hata kama wanajua hawana makosa au walibambikiwa kesi na kwa kuona kuwa hata hukumu ikija toka hawatopewa HAKI kutokana na kesi na ushahidi kuingiliwa basi nao Mungu ni muaminifu atawalipia kisasi.

Mene Mene Tekel na Peres!

Remmy Cameroon
Sauti ya wasio na sauti
Asante sana kwa hii taarifa, acha nikupe habari hakuna upelelezi unafaywa ni hao hao wanaccm wanaingilia uchunguzi wakifikiria kina sigh na mwenza watakufia jela, lakini ya mungu ni mengi, mimi ningewaambia sing na wenzie wasimame hapo hapo mpaka kesi isikizwe, na tena unaweza aje weka mtu ndani miaka 3 eti bado uchunguzi unaeendelea?mimi kwa maoni yangu naona hii maneno ya jiwe iliwalenga kina sigh, lakini sign wameamua hata kifo kije wako tayari, na kweli MENE MENE PERESI
 
Ungeandika "viongozi wa kanisa katoliki".

Hakuna kiongozi wa "dini" hapo.
 
Kiujumla hili sakata limeonyesha wazi ubaguzi.Tungelikuwa na taasisi za kutenda haki Yale majizi yote yaliyopewa mgao yalipaswa kusombwa yote Na kusukumwa ndani..
 
Hakuna Kipindi kizuri cha Bunge kama wakati mjadala wa Esrow ulipo kuwa una jadiliwa Bungeni
Zitto alisema alimwita dada Yake kutoka Kigoma ili aje ampkie Dodoma ili asiwekewe sumu na maccm. Akaenda mbali zaidi akasema yeye na marehemu Filikunjombe walipata tabu Sana kuilinda taarifa yao ya kamati maaana Lukuvi alikuwa anawalia timing aiibe kwenye ofisi za bunge
 
Wakati tunaongelea Sakata la ufisadi tujikumbushe na zile 1.5T.Kuna siku na hizi nazo zitawatokea watu puani?
 
Escrow is defined as a bond, deed, or other document kept in the custody of a third party and taking effect only when a specified condition has been fulfilled.

Huyu third party nadhani ndiye Benki kuu ya Tanzania!,lipo swali la kujiuliza ambalo jibu lake laweza kuwa ndiyo sababu chenge alisema yupo wa kumkamata ila wa kumshitak hakuna!, kama fedha ya Escrow ilitakiwa kutolewa after fulfilment of some specific conditions?swali ni je zilitolewa after fulfilment of those conditions au laa?,kama sivyo bhas tuwajue hawa walitoa amri pesa itolewe Benk kuu......Hapa ndipo utawakuta akina Naniii ambao ndio wanaogopwa na ndio ambao kesi ikienda mbele Bhas Chenge atachomoa betrbkwa kuwataja!!!!

Ikumbukwe Lowasa alipozidiwa katika kashifa ya Richmond alitoa kauli moja tuu iliyopelekea sakata kuzimika polepole, alisema"nilifanya vile kwa maelekezo kutoka juu",Je kina chenge watakuja na Bomu gani wakizidiwa?
 
Hakuna Kipindi kizuri cha Bunge kama wakati mjadala wa Esrow ulipo kuwa una jadiliwa Bungeni
Nakumbukaa mjadalaa ulijadiliwa bungeni mpaka saa tano usiku huku mitaa mingi ya Dar ikiwa giza umeme ulikatwa
 
Hata kama kweli walifanya makosa, ila kuwaweka watu ndani miaka mitatu huku kila wakati mkidai upelelezi haujakamilika, si kuwatendea haki hata kidogo. Leo mnawaambia watu watubu watubu nini, kazi ya Mahakama ni nini? Nini lengo lililojificha nyuma ya pazia la hii toba? Je zile Mahakama za mafisadi zinafanya kazi? Je tunatafuta kwa nguvu fedha kwa ajili ya kampeni za uchaguzi?

Nawaona Kalasinga Seth na Rugemalira hawa wameamua KAMA ni kufa basi wacha wafe.
Wamesimamia KWELI ya nafsi zao. Mioyo yao imeota sugu, hawaogopi tena kulala chini, kuumwa na mbu, chawa, kunguni wala viroboto vya Jela. Wameheshimu Nafsi zao na kukubali kuwa kila mtu ataonja mauti.

Huenda anaewasababishia USUMBUFU huu akafa kabla wao hawajafa (Mungu ni Msiri) sana.
Hapa kuna kitu nyuma ya pazia kimejificha, tuendako taifa litakuwa ktk wakati mgumu sana kulipa fidia na hasara kutokana na watu hawa! Muda ni mwakimu mzuri sana,
 
Escrow is defined as a bond, deed, or other document kept in the custody of a third party and taking effect only when a specified condition has been fulfilled.

Huyu third party nadhani ndiye Benki kuu ya Tanzania!,lipo swali la kujiuliza ambalo jibu lake laweza kuwa ndiyo sababu chenge alisema yupo wa kumkamata ila wa kumshitak hakuna!, kama fedha ya Escrow ilitakiwa kutolewa after fulfilment of some specific conditions?swali ni je zilitolewa after fulfilment of those conditions au laa?,kama sivyo bhas tuwajue hawa walitoa amri pesa itolewe Benk kuu......Hapa ndipo utawakuta akina Naniii ambao ndio wanaogopwa na ndio ambao kesi ikienda mbele Bhas Chenge atachomoa betrbkwa kuwataja!!!!

Ikumbukwe Lowasa alipozidiwa katika kashifa ya Richmond alitoa kauli moja tuu ilipolekea sakata kuzimika polepole, alisema"nilifanya vile kwa maelekezo kutoka juu",Je kina chenge watakuja na Bomu gani wakizidiwa?
No.1 wa awamu ya 4 hakuwa na huruma na raslimali za nchi kabisa kama alivyokuwa mtangulizi wake 'alivyogawa' nyumba za serikali
 
Back
Top Bottom