Viongozi wa CCM waanza Kugeukana juu ya malipo ya Dowans

Ujumbe umefika, baada ya kazi kuuuubwa.

Lakini what does it mean kwa CC? To me, it means it is comprised of members who are unable to make decisions of interest to their party and nation. They are potential of making decisions in favor of strngthening the opposition, hence working to overthrow their party out of power!
 
Nape hama chama ccm sasa hivi siyo chama tena ni genge la walanguzi wanatia aibu.HEBU TAFAKARI ONDOKA HUKO HAKUKUFAI
 
Mh mkuu wa wilaya ya masasi Nape Mnauye adai haamini kama CC aijuayo ndio iliyotangaza malipo ya DOWANS hayaepukiki!habari kwny gazeti la mwananchi

Hata mimi siamini,ila kama nimesoma sahihi,kamati kuu imeshauriwa na kamati ya CCM yenye wanasheria kama Sitta na Mwakyembe kuhusu namna ya kupunguza au kutoilipa DOWANS kabisa,kazi kweli kweli.....mbona wasingeishauri mapema???Hapo ni kwamba kiberiti kimekutwa kimejaa,na lazima wabadili game sasa......:playball:
 
Watamfanyia kama Tido kwani siasa ya CCM inamaana basi...!
Anyway it was said in America.
"mosquitos and bees are insects,both bite but the bee is praised and the mosquito is swatted"
so he is busy for trainning those old dogs he works under their salivation what do they do?.
 
Mungu saidia CCM walipe tu Dowans bila kuangalia haya malalamiko ya watu, eeeh Raisi wangu mtukufu Kikwete tafadhali amua mara moja hii pesa ilipwe. Maana ni dowans itakayo amsha hasira zetu watanzania, ni malipo ya dowans tu yatakayo fanya watanzania waichukie ile rangi ya kijani. KWA JINA LA BABA NA LA MWANA DOWANS ILIPWE AMENI.
 
Hivi kwa mfano kama huo mkwanja umeshalipwa wiki iliyopita (NI MFANO TU), tutajuaje?????? Na hata kama tukiwabana kila kona wasilipe hizo bil. 94, si watajilipa kwa njia nyingine kimizengwe tu?? hawa mafisadi si mchezo ati.
 
Janja yao wanataka kuitumia Tanesco ilippe,tena nje ya mahakama hivyo hakuna usajili wa mahakamani wala nini
ndio maana wamebariki Tanesco wapandishe tarrifs ili wadundulize wapate hiyo amount

Kwangu mie.....Anaza Big Mayai hapo penye Red

Awali, ilielezwa baada ya hoja za kisheria za Dk Mwakyembe alisimama mbunge wa Musoma Vijijini, Nimrodi Mkono, aliyejitolea akisema ataisaidia Serikali kuhakikisha ama deni hilo linapunguzwa au halilipwi.


Yaani nachoka kabisa
 
Kwangu mie.....Anaza Big Mayai hapo penye Red

Awali, ilielezwa baada ya hoja za kisheria za Dk Mwakyembe alisimama mbunge wa Musoma Vijijini, Nimrodi Mkono, aliyejitolea akisema ataisaidia Serikali kuhakikisha ama deni hilo linapunguzwa au halilipwi.

Yaani nachoka kabisa




sinema,sinema
bunge limekuwa kama kijiwe cha mihadhara ya dini kila mtu na tafsiri yake
 
Jamani presida anataka rudisha pesa za watu alizodhaminiwa wkt wa kampeni, usifanye mchezo kuzunguka na helicopter iliyotoka bondeni kwa usd 1800 per day. sasa mkuru atazitoa wapi dowans isipolipwa.
 
JK anachekesha...Kama suala hilo linamuumiza kwanini asitoa amri hela hiyo isilipwe?...
AMECHOKA MWILI NA ROHO HUYU KIBABU!

Kwa type hii ya rais tuliyenaye ni uwendawazimu kutokutarajia matatizo. Kama unamfahamu vizuri Kikwete kama mm ninavyomfahamu hushituki wala kushangaa ukiona nchi iko gizani na still inatakiwa kumlipa tapeli billion 94. Infact mimi ninawashangaa wale wanayoyashangaa na kuyaona matatizo tuliyonayo kama ni kitu kisichotarajiwa. Ninafahamu uwezo wa Kikwete so nilitarajia matatizo haya na bado kuna makubwa zaidi yatakayokuja its just the matter of time. Ni rais gani huyu aisiyekuwa na meno wala maamuzi? Ukiwa baba na usiwe na mamlaka wala maamuzi familia itakushinda tu what about nchi?
 
wenzetu watunisia washashtuka wakaona bora kuformat the whole system na kuinstall operating system mpya mapema wengine ndio kwanza tukodoa macho sa sijui tutavuta blanket vizuri au kuamka kujipanga kabla hayajatukuta ya Yemen...
 
Na wewe mbona umeshindwa kumuelewa? Yeye anashangazwa na uamuzi wa CC na kwa hakika anashangaa kama CC anayoijua yeye inaweza ikaamua hivyo ilivyoamua. Sasa kwa kauli hiyo usafi wake umeondokaje?
we unafikiri haijui cc ilivyo? alipoteza nafasi nzuri sana ya kuwa shujaa lakini akadanganywa na ukuu wa wilaya (akahongwa) atakuwaje msafi
 
Kikwete ni mnafiki,asiseme hili suala la Dowans linamuumiza wakati juzi kalibariki kwa kutumia CC yeye akiwa chairman na mtuhumiwa namba moja RA akiwa ni mjumbe mwenye kura ya VETO.

Suala hili la Dowans ambayo imepitia EVOLUTION mbalimbali lilishatafuna pesa nyingi za walipa kodi na liliposhtukiwa lilifikishwa bungeni ambapo kamati ya mwakyembe iliundwa.ikumbukwe pia hata kamati hii iligharimu fedha nyingi katika uchunguzi uliopelekea hadi wajumbe kwenda marekani kutafuta ukweli na hatimaye kuwakilisha na kusababisha historia kuandikwa pale waziri mkuu na baadhi ya mawaziri kujiuzulu kwa kutowajibika ipasavyo.kwa maana nyingine sakata hili lilitakiwa kushia pale na serikali kutekeleza yale maazimio ya bunge ya nini kifanyike baada.

Badala yake maigizo ya RAMBO yameendelea ambapo hata akijeruhiwa vipi ataibuka kumkabili adui hadi kushinda akikuacha wewe mtazamaji ukipiga makofi
Hili igizo limeendelezwa na mtuhumiwa namba moja RA ambaye Kikwete kamwe hathubutu kungusa kama alivyomgwaya katika 40 billion za KAGODA zilizochotwa pale EPA street

Kikwete ni muongo kwa kauli hizo ambazo pia wamezitumia kufichia madhambi mengi ya Deep Green,Meremeta,EPA nk,lakini atambue hili la
Dowans litatikisa kama si kuvunja hii NDOA ya kimila waliyofanya na Watanzania

Tulitegemea wajumbe wa kamati ya mwakyembe ndio waitwe kutoa ushahidi ICC lakini hatujui hao REX attorney walitoa ushahidi gani mwepesi mpaka hatia ituangukie
Sticking on previous report kuwa kampuni ilikuwa fake(non existing),mkataba fake, na huduma hafifu saa how can we pay back,na tunamlipa nani? kila kitu hapo kilishakuwa VOID,haihitaji degree ya Law hapo kubaini ninachokisema

Kama yeye ni muumini wa katiba na sheria basi anatambua kuwa BUNGE ni mhimili wa dola na suala hili lilishamalizwa enzi za bunge la standard and speed
Kikwete simama na useme fullstop to this nonsense sio kuchekacheka tu wakati nchi inachezewa.

kumbuka umelazimisha kukalia hicho kiti hivyo kipe heshima yake,kama cha moto sogea pembeni uwe mtazamaji kama unavyofanya sasa.

Time for vikao na mijadala is no mooore,we need right actions now!
 
Jamani presida anataka rudisha pesa za watu alizodhaminiwa wkt wa kampeni, usifanye mchezo kuzunguka na helicopter iliyotoka bondeni kwa usd 1800 per day. sasa mkuru atazitoa wapi dowans isipolipwa.

Kama hiyo ndio bei naomba contacts za hao waliomkudishia nina shida nayo mwezi wa nne plz
 
JF.... my take: what is the current situation of the establishment and legal status of DOWANS Tanzania...?
 
wameshikwa wizi wanaona aibu hao, eti kusema inawaamu, mara watashirikiana na wanaharakati kupinga/kupunguza, mara ag alibidi alitole ufafanuzi kwa waandishi wa habari, mara italipwa na tanesco na si serikali, mara cc waseme tanesco wenyewe ndio walivunja mkataba hivyo wao wenyewe ndio walipe, mara kikao cha wabunge wanapinga, ndio Malima na aliye mtuma wanasema hela ni nyingi na inawauma, hivyo wana subiri juhudi za wanaharakati, wakati huo huo wamemficha ngureja na aibu ya waliomtuma, sasa sijui watamfanya bangusilo, ili Malima akae vizuri zaidi. na AG nae sijui ata rudia ujaji wake? au mpaka wahisani waweke shinikizo?
 
Back
Top Bottom