kanga
JF-Expert Member
- Jan 13, 2011
- 1,025
- 493
| ||
|
| ||
|
kwa ni ni unasema mkuu wa wilaya ni kilaza?wanaanza kujikanyaga wenyewe! Dc kilaza, mwenyekiti kilaza!! What next kama siyo kukwaruzana kusiko na msingi? Kila mtu anataka ajione yupo juu...poor ccm!!
kila mtu ni mbabe kwenye nafasi yake,lakini tutafika tu!.......
kwa ni ni unasema mkuu wa wilaya ni kilaza?
kwa hiyo mkuu wa wilaya kwa mujibu wa sheria hawezi kusimamia na kuweka utaratibu wa kuhakikisha mazingira ni safi kwenye wilaya yake?swala la usafi kwenye mamlaka za miji au halmashaur zipo chin ya mamlaka husika na naamin kila halmashaur zina by law zao, so hapo dc alikuwa anatafuta tu umaarufu wa bure
kwa hiyo mkuu wa wilaya kwa mujibu wa sheria hawezi kusimamia na kuweka utaratibu wa kuhakikisha mazingira ni safi kwenye wilaya yake?
kwa hyo unamuunga mkono? Usafi ni kila siku bana bila kujali ni alhamis au lah......
kila siku ila mimi naona ni sahihi tu kutenga siku moja masaa labda mawili kwa ajili ya usafi mkuu.kwa mfano hata mimi nyumbani nafanya usafi kila siku ila jmos .
hakuna cha kufidia.nani kakuambia muda ukishapita unaweza kuufidia?ila usafi nao una umuhimu wake na nadhani unajua wabongo tulivyo wa bishi kufanya mambo hadi tusukumwe!mkuu hayo masaa 4 utayafidiaje kibiashara?
hakuna cha kufidia.nani kakuambia muda ukishapita unaweza kuufidia? nadhani unajua wabongo tulivyo wa bishi kufanya mambo hadi tusukumwe!......