Tanzania asingaliguswa mtu kabisa wangalisema anachapa kazi mambo ya binfasi hayana nafasi .Ndiyo maana akina Karamagi na Mahita kwa uchache wao wakachukua wake za watu na kuwakataa watoto mahakamani na leo ni waheshimiwa .
....Na yule wa Detroit update vipi... bado yuko mzigoni au?!... naona Mzee Mkjj amemkana kuwa si meya wake tena na kukimbilia kwenye environs za mji baada ya kuambiwa mji unaongoza kwa depression....
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.