Kadhi Mkuu 1
JF-Expert Member
- Feb 4, 2015
- 17,057
- 18,406
Kwani shetani hakushindwa?Bila aibu kabisaaa unatoa hii komenti , ukiwa CCM huwa mnaondolewa ubongo mnawekewa utopolo .
Kwani shetani hakushindwa?Bila aibu kabisaaa unatoa hii komenti , ukiwa CCM huwa mnaondolewa ubongo mnawekewa utopolo .
Amen, Mola anaendelea kutenda matendo makubwaMungu ibariki CHADEMA, Mungu tubariki wazarendo!!
Mbona wimbo wa taifa UVCMM waliondoa Tanzania na kuimba "Mungu mmbariki Magufuli" lakini mpaka leo hakuna aliyewagusa?Ni kweli kabisa. Nyinyi ni mashetani ndo maana hamjawahi kushinda popote. Wimbo wa taifa kweli mkapandishie bendera ya chama? Hii ni adabu gani? mara ya kwanza mlibadilisha wimbo wa taifa mkaufanya wa chama, mkavumiliwa. Naona safari hii dola imeamua kuwafundisha adabu.
Ingekua nchi nyingine hawa vijana wangeozea jela, huwezi kuchezea tunu za taifa ambazo ni kielelezo na utambulisho wa taifa halafu uangaliwe tu. wimbo, bendera, na ngao za taifa zinapaswa kuheshimiwa na kila mwananchi. Mkiendelea kuachiwa, kuna siku mtaweka nembo ya chama chenu kwenye bendera ya taifa.
Duuuuh,ni bendera ya chama imepandishwa kwa wimbo wa taifa!Serikali ikate rufaa, haiwezekani waachiwe wakati walifanya makosa, tokea lini bendera ya Taifa inapandishwa kwa wimbo wa CHADEMA?
ThusWhy mwisho wa bandiko langunkatoa N.B kuwa sidhani Kama kwa Akili yako utanielewa, na nikweli umejidhihilisha mwenyewe kuwa Humjui Mungu Bali unae mjua wewe ni "mungu" kam ulivyo andika.aWe jamaa naona Sasa umepitiliza ,angalia mkuu, mungu sio wa mchezo mchezo
UVCMM ndo nini? wale walikua ni wasanii tu wa kawaida. Nyinyi mliufanya kama wimbo rasmi kabisa wa chama na mkauimba kwenye Mkutano wa chama chenu kukiwa na viongozi wote wa juu wa chama.Mbona wimbo wa taifa UVCMM waliondoa Tanzania na kuimba "Mungu mmbariki Magufuli" lakini mpaka leo hakuna aliyewagusa?
Acheni kuonea watu,kama wana makosa kwanini DPP ameamua kutoendelea na kesi?
Huu mtindo wa kuwanyima watu dhamana umekuwa fashion ya awamu hii ili kuwatesa watu ambao katika angle ya kisheria,mahakama haiwezi kuwakuta na hatia!
National SymbolsIbara ya ngapi iliyoutaja wimbo wa Taifa kuwa ni tunu ya Taifa ?
Sasa hao wasanii kwasababu wanamtukuza Magufuli ni sawa,ila wengine inakuwa nongwa!Acheni hizo,hii nchi yetu sote!Matendo kama hayo ndio yanasababisha mgawanyiko kwenye jamii!UVCMM ndo nini? wale walikua ni wasanii tu wa kawaida. Nyinyi mliufanya kama wimbo rasmi kabisa wa chama na mkauimba kwenye Mkutano wa chama chenu kukiwa na viongozi wote wa juu wa chama.
Demu wa vicentNi jambo jema
Nusrat apewe ubunge vile viti maalumu 19!
Na kweli maana na mama yako alitoka hukoWajitahidi warudi tena maana ni sifa!
May be na upo na matatizo flani,flani hivi ,ngoja niishie hapaThusWhy mwisho wa bandiko langunkatoa N.B kuwa sidhani Kama kwa Akili yako utanielewa, na nikweli umejidhihilisha mwenyewe kuwa Humjui Mungu Bali unae mjua wewe ni "mungu" kam ulivyo andika.a
Basi soma Hili andiko litakusaidia kunielewa na Kumjua Mungu ninae msemea Mimi;
1 KOR. 3:16-17
Hamjui ya kuwa ninyi mmekuwa hekalu la Mungu, na ya kuwa Roho wa Mungu anakaa ndani yenu? Kama mtu akiliharibu hekalu la Mungu, Mungu atamharibu mtu huyo. Kwa maana hekalu la Mungu ni takatifu, ambalo ndilo ninyi.
Usiponielewa Tena jipeleke mwenyewe Mirembe.