Viongozi wa BAVICHA Singida kufikishwa Mahakamani leo

Shetani hajawahi kumshinda Mungu
Mungu tu awatie nguvu wavumilie mpaka hiyo tarehe 3/08/2020. Ila vijna wangepunguza mihemuko huyu mkoloni mweusi mbona angetoka? Lakini sasa kwa vile tunaendeshwa na kusaka umaarufu wa kijinga matokeo yake ndio hayo!!
 
Uliulizwa swali hapo juu endapo itatokea Mh. Jaji akaumwa mtachukua hatua gani? Sasa yako wapi? Jamaa kajiuguza ili kuendelea kuwakomoa hao vijana, namhurumia sana Nusrat jamaa wasije wakajishindia tu!!
Huwa wana mikwara ya kijinga sana kutoa matamko mazito halafu yasipotekelezwa unasikia "shetani hajawahi kumshinda"
 
Kwani hatuna wimbo wa chama? Wimbo wa Taifa siyo wa kuchezea maana hiyo ni nembo mojawapo ya nchi, tutapigwa mpaka tuchakae!
USA kuna hadi bikini zenye rangi ya bendera ya Taifa , hapa mkiona wadada wamezivaa zenye bendera ya Tanzania nadhani mtawatwanga mabomu
 
Juzi walitegemea wataburuzwa mitama ili kamera za bibisii, aljazira na si eni eni zimulike tukio laivu lakin kwa mshangao mkubwa wakamaliza mapokezi yao kwa usalama na amani, wakaona mpango wao haujatimia, jana wameenda uwanjani wakiwa wamechelewa ili wazuiwe kuingia walalamike lakini mwenzao Sugu kawaumbua
 
Kasome vizuri sheria ya national emblems. Ni kosa kubadili au kudhihaki wimbo wa Taifa. Hicho walichokifanya vijana wetu ni kudhihaki wimbo wa Taifa maana haijaruhusiwa kwamba unapopandisha bendera ya chama uimbe wimbo wa Taifa, tena chama chenyewe hakijakamata dola!!
Kwahiyo chama kikikamata dola ni sahihi kuimba wimbo wa taifa huku ukipandisha bendera ya chama husika ?
 
Kwani hatuna wimbo wa chama? Wimbo wa Taifa siyo wa kuchezea maana hiyo ni nembo mojawapo ya nchi, tutapigwa mpaka tuchakae!
Nenda kwenye swali hoja Uzalendo wa nchi ni upi?
Enzi za ujima wazalendo walipovaa nguo zenye bendera ya Taifa au kubeba vibendera vya Taifa walikamatwa na kubughudhiwa sana matokeo yake watu wakaanza kuvaa fulana zenye bendera za mataifa mengine "I LOVE USA" tulikuja kushtuka baadae sana... Ahsante sana Mzee Kikwete
 
Uliulizwa swali hapo juu endapo itatokea Mh. Jaji akaumwa mtachukua hatua gani? Sasa yako wapi? Jamaa kajiuguza ili kuendelea kuwakomoa hao vijana, namhurumia sana Nusrat jamaa wasije wakajishindia tu!!
wajishindie mara ngapi mkuu wakati sasa hivi anakaa ndani mwisho saa kuminambili anatolewa kwenda kuliwa mpaka asubuhi anavuna alichokipanda
 
hairuhusiwi hiyo ni dhihaka hivi hamna wasomi wanojuwa sheria za nchi wawe wanauliza kwanza? sasa chama gani hakinnawaatu wanaojua sheria kife tu
Na wale wa bongo fleva waliuoweka wimbo wa Taifa katika nyimbo zao unasemaje?wakati ukijisahaulisha niliuliza "Uzalendo ni nini?"
 
Back
Top Bottom