ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 19,553
- 44,719
TANZANIA katika awamu ya pili tungempata Rais wa Aina Kama ya Magufuli tungekuwa mbali mno.maono ya Magufuli Ni mazuri Sana taifa linatakiwa liwe na hela.haiwezekani nchi iwe Ni omba omba mpaka tuombe watu wa ndani hela, matajiri wawepo lakini na taifa tujivunie kuwa na serikali yenye hela.baraza la mawaziri mngefanya kusimamia vizuri mapato Leo hii Tanzania tulipaswa tuwe na uchumi wa Kati siku nyingi tu Toka huko kwa Rais Mwinyi.chama kinatakiwa kiwe na hela pia sio kuchangiwa na wafadhili.magufuli atathibiti mifumo vizuri.cha kuzingatia kwa Sasa Ni vyombo vya kutafsiri sheria kazi ni kwenu kuonyesha nguvu yenu ili kuwe na mgawanyo mzuri.serikali ibainike wazi kuwa Ni bunge na mahakama.pongezi kwa wabunge wengi tu wanatimiza wajibu wao vizuri.serikali KAMWE haionei mtu.sio matukio yote mhusanishe Ni serikali.kama mnakumbuka Patric lumumba aliuwawa.hizi kazi Zina changamoto usalama wetu na amani Ni ushirikiano.mkumbuke polisi wanafanya kazi yenye changamoto.huko ndani ya serikali Kuna sirikali.baada ya sokoine anayefuata kwa utendaji kazi katika viongozi wakubwa wote Ni Magufuli pekee.vitendo dhidi ya maneno.