Viongozi wa AU wapongeza China kwa kuibadilisha vizuri Afrika

ldleo

JF-Expert Member
Jan 9, 2010
1,006
1,026
1644543835975.png

Na Kelly Ogome

Umoja wa Afrika AU umeipongeza China kwa mchango wake mkubwa katika kuleta maendeleo barani Afrika.

Amani Abou-Zeid, kamishina wa miundombinu na nishati wa Umoja wa Afrika amesema, China ni mshirika mkubwa katika kufanikisha maendeleo barani Afrika kupitia ujenzi wa miradi ya maendeleo kama vile barabara, mabwawa, reli na miradi mingine ambayo imebadilisha sura ya Afrika na kuchochea maendeleo ya bara zima.

Unapozuru nchi zote za Afrika, utajionea miradi kadhaa mikubwa iliyojengwa au hata kufadhiliwa na China. Miradi hii iko kwenye sekta zote muhimu kama vile afya, kilimo na elimu. Taasisi kadhaa za elimu zina maktaba au maabara za kisasa za utafiti zilizojengwa na China. Nchi nyingine zina hospitali za haiba kubwa ambazo ujenzi wake ulifadhiliwa na mashirika au serikali ya China; yote haya yanadhihirisha juhudi za China katika kuibadilisha Afrika kwa manufaa ya Waafrika wote na wageni.

Kwenye mkutano wa mawaziri wa nchi za Afrika ulioandaliwa na Umoja wa Afrika wiki iliyopita jijini Addis Ababa Ethiopia, jitihada za China za kufanikisha maendeleo ya Afrika zilitambuliwa na kupongezwa. Mkutano huo wa mawaziri ambao uliandaliwa kwa mara ya kwanza baada ya janga la Covid-19 kutikisa ulimwengu uliegemea sana mazungumzo ya namna Afrika inavyoweza kujenga mfumo thabiti pamoja na kuharakakisha maendeleo ya kijamii na kiuchumi kupitia miradi tofauti- na ikabainika kuwa China ni mojawapo ya nchi zinazoweza kuisaidia Afrika kufikia yote haya.

‘’Tunashirikiana na nchi nyingi kufanikisha maendeleo katika sekta mbali mbali. China ni mojawapo ya washirika wetu wakubwa katika kufanikisha ujenzi wa miundombinu. Nafahamu kuwa ni kupitia maendeleo ya aina hii pamoja na kupatikana kwa nishati ndipo Afrika itajiendeleza’’ alisema kamishna Amani Abou-Zeid.

Kando na kushirikiana na watu binafsi katika miradi ya kuwainua raia, taasisi za China pamoja na serikali kuu zinafanya kazi kwa karibu na Umoja wa Afrika kufanikisha ruwaza ya AU ya miaka 50 ifikapo mwaka wa 2063. Ruwaza hii inalenga kujenga Afrika yenye amani na mafanikio iliyojengwa na Waafrika.

’Sisi kama makamishina wa Umoja wa Afrika, tunashukuru na kupongeza mfumo ambao China imechukuwa kushirikiana nasi katika miradi inayofungamana na ruwaza yetu ya mwaka 2063’’ aliongeza bwana Amani Abou-Zeid.

Afrika pia inaendeleza mipango ya ushirikiano na China katika kupanua matumizi ya teknolojia, kuboresha elimu na utafiti ili kwa pamoja kujenga nchi zinazojitegemea. Hili linaweza kudhihirishwa kwa kukamilika kwa baadhi ya vituo vya utafiti kama vile maabara za Luban zilizoendeshwa na taasisi za Afrika kwa ushirikiano na taasisi ya Tianjin ya China.

’Tunafanya mambo mengi katika sekta za elimu, utafiti, uvumbuzi na teknolojia kwa kushirikiana na China. Tumeweza kuileta China na Afrika pamoja na kupitia Baraza la Ushirikiano kati ya China na Afrika, tumetekeleza na tunaendelea kutekeleza miradi mikubwa zaidi hapa Afrika.’’ alisema Hambani Masheleni kaimu wa kitengo cha Elimu, Sayansi, Teknolojia na uvumbuzi katika Umoja wa Afrika.

Takwimu kutoka taasisi ya utafiti ya China-Africa zinaeleza kuwa Angola, Ethiopia, Zambia, Kenya na Nigeria zote ni nchi za Afrika zinazoshirikiana kwa karibu sana na China katika uwekezaji kwenye sekta ya ujenzi wa miundombinu huku mwaka wa 2016 ukiwa mwaka ambao Afrika ilitia saini mikataba mingi ya makubaliano kwa ajili ya ujenzi wa miundombinu iliyofadhiliwa na China.
 
Hongereni Viongozi wa AU, taratibu mtaanza kutuelewa tulipokuwa tunasema mengi yanayozungumzwa dhidi ya China ni Propaganda za Nchi za Magharibi!!

Mara oh, wanawapa hiyo mikopo ili waweke kambi za kijeshi nchini mwenu... wanasema hayo huku wakisahau wenyewe wana kambi za kijeshi kila kona...

Mara oh, Wachina wanawapa hiyo mikopo makusudi kwa sababu wanataka mkishindwa kulipa wawanyang'anye raslimali zenu... wanasema hayo huku wakisahau raslimali nyingi Afrika, ikiwa ni pamoja na migodi kadhaa ya madini, ipo chini ya hao hao waliokuwa wanajifanya wanatuhurumia dhidi ya China!!

Mara oh, hiyo Bandari ya Bagamoyo hiyo, shauri yenu... watawanyang'anya kama walivyonyang'anya Bandari ya Sri Lanka!!

Nadhani matokeo ya tafiti zilizofanywa na vyuo vikuu vya kwao wenyewe, hususani vile vya Marekani, hatimae zimewafungua macho!

Na miafrika ilivyo na akili za ovyo ovyo, hata ukiiambia na kuwaonesha ushahidi, wanakuambia "Unalipwa na China"!! Yaani watu wanajisahaulisha kwamba hata mkopo wa Reli ya TAZARA tu hujalipwa and it's not almost 50 years now ma Mchina hajang'oa hata chuma kimoja kushinikiza kulipwa deni lake lakini leo hii akisoma Gazeti la New York Times jinsi China anavyoweza kupokonya Bandari ya Bagamoyo, hapo hapo anaamini...

Yaani hata Darasa la Vita Vya Kiuchumi haliwaangii...

Harvard.png

Our data records more than 1,000 Chinese loan commitments in 49 African countries since 2000. Between 2000 and 2019, Chinese lenders restructured or refinanced at least 26 individual African loans. We found that China has restructured or refinanced approximately US$ 15 billion of debt in Africa between 2000 and 2019.

Refinancing is rare, limited to one transaction in Angola by China Development Bank. Unlike the Paris Club, Chinese lenders have tended to treat restructuring or cancellation loan-by-loan, not on the basis of the entire debt portfolio in that country. This parallels an earlier emphasis on “development sustainability” (looking at the future contribution of the project) rather than “debt sustainability” (looking at the current state of the economy) as the
basis of project lending decisions.

While China Eximbank is the lender in most cases of restructuring, there is no “China Inc.” when it comes to debt relief. More than 30 Chinese banks and companies have provided credit to African governments. Debt relief for different creditors needs to be negotiated separately with the companies and banks involved. While cases differ in the treatment of the debt, we note a trend toward real net present value (NPV) reductions, mainly through lower interest rates, longer grace periods, and substantially longer repayment periods.

Moreover, despite critics’ worries that China could seize its borrower’s assets, we do not see China attempting to take advantage of countries in debt distress. There were no “asset seizures” in the 16 restructuring cases that we found. We have not yet seen cases in Africa where Chinese banks or companies have sued sovereign governments or exercised the option for international arbitration standard in Chinese loan contracts. Restructuring a loan is only one of a menu of options for an underperforming project. Other options might include public-private partnerships (PPPs) involving equity injections from Chinese companies. Yet, although Chinese firms participated in some African debt-equity swaps in the 1990s, we have not yet seen this happening in the new millennium.

China’s participation in the G-20 agreement on a debt moratorium marks the first time China has
joined in a multilateral commitment to provide debt relief on government-to-government lending.​
 
View attachment 2115402

Hawa wachina konyo kweli. Wamepandikiza vinasa sauti kwenye jengo la AU Addis ili wasikilize maongezi ya vikao Beijing. Hawana maana.
 
Back
Top Bottom