Viongozi wa Arab Contractors wakielekea Ikulu hayawi hayawi sasa yamekuwa

😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Makada wa CCM walivyofyumu.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
27E9F92D00000578-3131546-Food_scandal_It_recently_emerged_that_donkey_meat_was_being_pass-a-97...jpg

Nakuuliza wewe kada CCM ilikuwaje ukanigonga.kwa nyuma?!..au na wewe ni arab contractors
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Hahahahaha bila shaka huyu Punda katumwa toka chato kwa nanihii 😜
Mimi nina wasiwasi na Lugola anafikiri amemtoa jamaa kwenye ofisi labda atarudi kwa hiyo akajigeuza punda...Ili mnyiramba Ute umtoke.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 mambo ya kuelekea 2020

Mimi nina wasiwasi na Lugola anafikiri amemtoa jamaa kwenye ofisi labda atarudi kwa hiyo akajigeuza punda...Ili mnyiramba Ute umtoke.
 
Back
Top Bottom