VIONGOZI WA AFRIKA WENYE HOTUBA ZA KUSISIMUA

ilovebrenda

Senior Member
Jun 23, 2019
105
73
Assalam Aleykum/ Bwana Yesu asifiwe. Hakika tuliobarikiwa kuiona siku ya leo tukiwa salama kwa neema zake Mungu, tushukuru kwa hilo. Huu uzi ni maalum kabisa kwa ajili ya kutupia hotuba mbalimbali za viongozi wa bara letu pendwa la Afrika, waliopo na wasiokuwepo kwa sasa madarakani. Naamini kupitia hotuba hizi tutajifunza mengi na kuongeza maarifa pia. Kwa kuanzia, natupia moja ya hotuba pendwa ya Simba wa Afrika, hayati Robert Gabriel Mugabe. Karibuni sana.
 
Back
Top Bottom