Teh teh teh inaonyesha alikuwa anawamwagia mate mengikumbe mapovu yote ya Kabudi yaliishia kumwagikia chini
mzungu hawezi kukaa kusikiliza mashudu ya sithole.Yaani wazungu wakae wanamsikiliza mnangagwa au Kabudi ? ili? kuna chochote cha mno wanachoweza kusema kweli katika siasa za dunia?
Watu wanahitaji kusikia maswala makubwa makubwa ya siasa za ulimwengu, uchumi wa dunia, habari za kijeshi na kiusalama nk..
Sasa kabudi kafika pale kaanza kumwaga ilani ya chama...mara sijui tumejenga vyoo kumi... wtf!
Hata mimi nisingekaa kusikiliza ule upuuzi!
Ndio maana Magufuli hana muda mchafu
Bora aende chato kula sato Kuliko kupaa futi 15000 kwenda kuhutubia viti
MkuuNdio maana Magufuli hana muda mchafu
Bora aende chato kula sato Kuliko kupaa futi 15000 kwenda kuhutubia viti
Mkuu
I promise you.. Jamaa akienda labda aombe kuongea kiswahili... Ila kama ni kingereza cha fent fod na lait trak lazma tuaibike..
Hahaha.. mawazo yako ni balaalakini si viti vimenufaika kwa namna moja au nyingine,,,,ila ningekuwa mimi ningeahirisha tena katikati ya hotuba narudi zangu gesti kutafuta mtoto mkalee wa kimarekani anipe burudani
Tatizo ataweza kuongea pale mbele na lugha ileNdio maana Magufuli hana muda mchafu
Bora aende chato kula sato Kuliko kupaa futi 15000 kwenda kuhutubia viti
Kweli wazungu wakae wanasikiliza nonsense za Kabudi eti nchi imejenga vituo vya afya. Nawashangaa hata waliokaa hapo ukumbini kusikiliza huo upuuzi.
Juzi juzi hapa huyo mnagangwa aliwamwaga wanajeshi mtaani wakawauwa akina mama na vikongwe!Yaani wakae kusikiliza ujenzi wa vyoo na vijiji vya Tanzania vilivyounganishwa kwa umeme? Au wamsikilize Kabudi akiwaambia kuwa vyama vya siasa vyote Tanzania vipo huru kufanya shughuli zao za siasa bila kubughudhiwa na serikali, wakati wanajua kuwa ni uwongo?
Viongozi wa Afrika wakitaka waheshimiwe ni vema kwanza huko kwenye mataifa yao wawaheshimu watu wao.
Hotuba hizi za uwongo na upuuzi, wazitoe kwa hao watu kwenye mataifa yao maana huko wana uwezo wa kuwaandikia wafanyakazi wote kuwa lazima wahudhurie.
Mikutano mikubwa kama hii viongozi wanaenda kujifunza kutoka kwa wengine na kuwafundisha wengine. Ni mikutano kwaajili ya civilized world. Alama ya kwanza ya mtu civilized ni kutambua thamani ya utu wa mwanadamu. Mathalani wewe ukawa unatesa watu wako, unafunga kwa kuwaonea watu wako, unawateka watu wako, unawaua au kuwapoteza watu wako - hicho ni kiwango cha juu kabisa cha primitivity ambacho hata sokwemtu hafanyi. Je, watu civilized unatarajia watapoteza muda wao kukusikiliza? Viongozi na tawala kwa ujumla za mataifa mengi ni matatizo makubwa.