Viongozi wa Afrika na Wapambe Wao.

Kichuguu

Platinum Member
Oct 11, 2006
15,503
19,341
Najua kulikuwa na post kama hii siku za nyuma ingawa sikuweza kuipata. Ninachotaka kusema hapa ni kuwa wapambe wa viongozi wengi wa kiafrika siyo professionals, ila ni wanajeshi wa kawaida tu ambao huvalia sare nzuri za kijeshi kijeshi na kuhakikisha kuwa wanakuwa karibu na viongozi wao lakini sidhani kama kweli wanawalinda.

Baadhi ya viongozi wa Kiafrika na Wapambe Wao:

h_3_ill_1017027_340606.jpg
Kikwete

520082.jpg
Karume
_705510_mugabe_fist300.jpg

Mugabe

H.E.%20President%20Kibaki%20signs.jpg

Kibaki

1175623922eritria2.jpg

Museveni

tn_2008-06-07T182821Z_01_NOOTR_RTRIDSP_2_OUKWD-UK-CONGO-DEMOCRATIC-UN.jpg
Kabila

_833538_kagame300.jpg
Kagame​

Linaganisha na wale wa Bush na Tony Blair (enzi hizo):

20070607-2_d-0165-2-515h.jpg
 
Nadhani kuna tofauti kati ya mpambe wa Rais ambaye kwa kiingereza ni "Aide de Camp (ADC)" na walinzi wengine wa rais (presidential security guards). ADC huvalia mavazi ya kijeshi na anakuwa nyuma ya rais wakati wote. Mlinzi au walinzi hasa wa raisi ha(wa)vai sare za kijeshi, wao siku zote huvalia kiraia. Inabidi basi kufahamu majukumu ya ADC ni yapi anapoongozana na rais. Majukumu hasa ya kiulinzi yako kwa wale wanaovalia kiraia.
 
Asante kwa kunufahamisha tofauti hizo. JF ni uwanja wa elimu.

Sijawahi kumwona rais wa marekani akiongozana na mtu mwenye uniform za kijeshi kwa karibu sana kama ilivyo kwa viongozi wa kiafrika.
 
Image74.gif

Insignia for Aide to President of the United States

Prior to 1946, there was no prescribed insignia for Aides to the President of the United States. In 1946, an insignia was adopted -- 48 stars in a ring on a shield surmounted by an eagle. This design was changed in 1953 to 13 white stars on a blue shield surmounted by an eagle. The insignia for Aides to the Vice President of the United States was approved on 24 January 1969
 
Lol kazi kubwa ya wapambe ni kupokea zawadi, kumpa rais hotuba, kumbebea briefcase na vitu kama hivyo...ila SIO MLINZI/BODYGUARD

Haya tumeyajadili hapa
 
Back
Top Bottom