Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 121,947
- 95,237
Wakati mwingine unajiuliza hawa watu wanaogopa kitu gani haswa wakiwa nchini mwao.!
Umechaguliwa na wananchi wako tena kwa kishindo ukiingia madarakani unajiwekea ulinzi wa kutisha inasaidia nini?
Huyu chini ni kiongozi wa nchi jirani yetu ambaye kwenye msafara wake anatumia magari zaidi ya 200 na mandege huku walinzi wake wakiwa na silaha kali za kivita.