Viongozi wa Africa, Democrasia na Uvunjifu wa Katiba


Obi

Obi

JF-Expert Member
Joined
Jul 6, 2009
Messages
376
Likes
5
Points
35
Obi

Obi

JF-Expert Member
Joined Jul 6, 2009
376 5 35
It has been more than six weeks siince the Nigeria's President Musa Yar'adua left the country for medical treatment in Saudi Arabia. He left the office without transfering power to his Deputy, worse enough without informing the Legislature.
Je hii ndio democrasia au ni uvunjifu wa katiba ya nchi? Suala hili limezua minong'ono ya kikatiba ndani na nje ya Nigeria kwamba ni nani anayeongoza nchi kama Rais hajakabidhi madakara kwa viongozi wa chini yake.
Je sasa tuamini kwamba Afrika hakuna demokrasia? We are just preaching democracy rather than practising democracy.


 

Forum statistics

Threads 1,250,868
Members 481,514
Posts 29,748,830