Viongozi vipofu - au ni wenye shibe kuwasahau walio na njaa?

Adili

JF-Expert Member
Nov 3, 2007
3,138
1,117
Maojiano kati ya Mtoto wa Mkulima na professor yalikwenda hivi.........“Makamu mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, (Profesa Rwekaza Mukandala) naye akaniambia akihoji: 'Hawa wanafunzi sijui walipenya vipi na hili bango'. "Nikamwambia 'itakuwa wametumia kaujanja kadogo tu kwa kulikunja likawa kama madaftari, kwa hiyo mtu akabeba kama kitabu anachoenda kujisomea', lakini pamoja na mwandiko na bango lao baya baya, nasema massage imefika.”

Yaani.......tatizo la Prof. Mukandala lilikuwa ni kwa vipi imewezekana wanafunzi hao kuufukisha ujumbe/kilio chao ukumbini mpaka ukaonekana na waheshimiwa.
Nahisi Mtoto wa Mkulima asingeligusa hilo, wabeba bango wangekuwa wanasota Keko kwa wakati huu.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom