Amavubi
JF-Expert Member
- Dec 9, 2010
- 30,156
- 13,249
NAANDIKA KWA UCHUNGU KIDOGO
Ni kweli kwamba moja ya ahadi ya Mwenyekiti Aveva ilikua ni kuongeza wanachama hadi kufikia 50,000 na kwamba zoezi lilianza kwa kasi na kusimama kwa kasi kwa sintofahamu na kiza kinene
Tuliitikia mwito tukiamini kwamba wingi wa wanachama ungeweza kuongeza mapato yatokanayo na ada za wanachama lakini pia kitafutwa kuungwa mkono na wanchama na si mashabiki pekee popote simba iwndako na tukahamasishana sana walio waliokuwa wafurukutwa wa muda mrefu wajiunuge na uanachama........wengine hata walitupa picha na michango yao kutoka mbali ili kurahisisha taratibu kwa tulio karibu
Ni zaidi ya nusu mwaka sasa tumewasilisha matakwa yote ikiwemo ada na tunapofutailia kwa viongozi wa matawi husika ni danadana kana kwamba TUMELIWA!! na hata walioutupa michango yao wanakosa imani na sisi ..............
nyeti za uhakika zinadokeza kwamba KADI ZIPO TAYARI ILA VIONGOZI WAMESHINDWA KUZILIPIA KWA MZABUNI NA HOVYO AMEZISHIKILIA!!!!
Swali la Msingi; iweje mshindwe kuzilipia na mlituchangisha fedha wa ajili hiyo?
Chonde tunaomba mtoe tamko katika hili la sivyo tutapigia mstari ubabaishaji na utapeli uliotukuka na kwamba na ninyi ni JIPU LA KUTUMBULIWA
Naomba wanachama na waandishi mnisaidie kudodosa na kulishikia bango hili huenda litasaidia kuwafikia viongozi na ku[ata ufumbuzi