viongozi safiiiiiiii sanaaaaaaaaaaa

engmtolera

JF-Expert Member
Oct 21, 2010
5,150
1,437
nawapongeza viongozi hawa kwa hili,wamedumisha mila na utamaduni wetu uliopotea enzi hizo,kwa kusema kuwa ni wa kishenzi
balelekandoro.jpg
 
Hahahahahaha..... yaani imetulia hadi raha lol! huyo aliewapiga picha amewapatia sana
 
Thats Dr. Balele, pamoja na udaktari wake bingwa bado hana jibu la matatizo ya kiafya yanayomsibu.
Hapo ndio mjue babu anatisha, bila kujali huduma ya babu imetokea wapi.

Kandoro naona anapiga sala kwanza kabla hajatumia "finished product". Hahahahaaa!
 
kwa hiyo tukubaliane kuwa pamoja na dharau zote, majigambo, kiburi na kujitenga na watu wa kawaida kunakonyeshwa wakati wa maisha ya 'uzima' lakini ni wazi hakuna aliye 'mkubwa'. Heshima inayoonyeshwa kwa babu na viongozi wetu ingelikuwa ikionyeshwa kwa wananchi katika uendeshaji wa nchi kila siku, hakika tungekuwa tumepiga hatua kubwa kimaendeleo
 
nawapongeza viongozi hawa kwa hili,wamedumisha mila na utamaduni wetu uliopotea enzi hizo,kwa kusema kuwa ni wa kishenzi
balelekandoro.jpg
Dah!!jamaa wametengeneza utulivu wakutosha tu...tehetehetehe!!!!!!.:hatari:
 
Thats Dr. Balele, pamoja na udaktari wake bingwa bado hana jibu la matatizo ya kiafya yanayomsibu.
Hapo ndio mjue babu anatisha, bila kujali huduma ya babu imetokea wapi.

Kandoro naona anapiga sala kwanza kabla hajatumia "finished product". Hahahahaaa!

Babu yupo juuu,hapa china hizi tiba ni kawaida sana kupatikana na wanaziamini sana wakubwa kwa watoto,masikini kwa matajiri,tatizo ni kwamba zinachukuwa mda kidogo ktk kuponyesha,ila wao wanazipenda kutokana na kuwa hazina mambo ya kuchakachuliwa

ila bongo ndugu yangu watu huwa tunaenda kwa kificho kupata dawa na wengine hudharau,ila wakipigwa ganzi ya mchina ya vijiti anaikubali na kuitukuza du ni ajabu

babu oyeeeeeeeeeeeeeee
 
Back
Top Bottom