Viongozi nane wa CHADEMA waachiwa huru

Serikali hii naishangaa sana. Inatafuta wawekezaji kwa udi na uvumba, mpaka Kuna wizara ya uwekezaji. Serikali hiyo hiyo inaitangazia dunia kwamba Tanzania Kuna magaidi. Hivi Ni muwekezaji atawekeza sehemu isiyo salama? Kuna mtu ameshawahi kuwekeza Afghanistan?
Pili serikali hiyo hiyo inakataza mikusanyiko isiyo ya lazima, Cha ajabu mwenge wa Uhuru unaendelea kukimbizwa na mbio za mwenge zinakudanya vijana kweli kweli.
 
Hicho kicho kwanini unakitumia tu kama boks la kupandia nywele? Si ukitumie kuwaza walau kidogo?
Kama unafikiri tunatania, walete upuuzi wao, na bahati nzuri wakipata tabu wewe utakuwa kwenu unapaka poda
 
Huna akili !!. Wazazi wamekula hasara
Mwenye Akili Mbowe aliemibadilishia Gia angani toka Lowassa kuwa fisadi mpaka mgombea wa Urais kwa tiketi ya Chadema
 
Kwa hiyo unataka watu wano sema ndio kwa kila kitu.emu jaribu kutoa wazo kwenye familia yako au kwenu upime kama kila MTU atakubaliana na wewe.kama atakuwepo basis jua hata dunia ya sasa huwezi kumpata katika nyanja yoyote ile.
Familia sio nchi, usalama wa Raia na Mali zao ni jukumu la Polisi, lazima wasikilizwe wao ndio wataalamu, tatizo nyie chadema kila kitu mnajifanya mnajua mkiwa mitandaoni, wakikamatwa viongozi mnalialia kama Mbwa koko, hamna lolote mnalo weza kufanya
 
Tayari kwa serikali ya awamu ya 6 na vyombo vyake husika kitendo walichowafanyia wapinzani (CHADEMA) ni sawa na kaa la moto, kulishika kiganjani moto, kulimeza moto, kulitupa watawasha moto pia.

Walidhani ni mchezo rahisi sasa wanatapatapa .

Mnapenda kudanganyana ni wapiga domo wa chadema sanaaaa
 
Back
Top Bottom