Viongozi na wanachama 19 wa Chadema waliofikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Mwanza leo wameachiwa huru kwa dhamana

mshale21

JF-Expert Member
Apr 8, 2021
2,050
4,903
Viongozi na wanachama 19 wa Chadema waliofikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Mwanza leo Agosti 19, wameachiwa huru kwa dhamana baada ya kusomewa shtaka lililokuwa linawakabili la kufanya fujo kanisani.
View attachment 1898829
 
Hawa wafuasi wa Mbowe sasa hivi wanatukana tu huko Twita kipindi Kigogo akimtukana Kiongozi wa nchi, akidhalilisha na kutweza utu wa watanzania wengine vijana hawa wa Chadema mlikuwa mnamuona ni Shujaa!
Sasa upepo umebadilika anawatuna wao🤣 vumilieni tu, kisha jifunzeni kusimamia Haki na Ukweli kwa gharama yoyote ile.
Jifunzeni msishabikie Chuki.
 
Watulie sasa!! Vinginevyo watafungwa wakiendelea na vurugu.
Kwa akili yako hapo unaona wanafanya vulugu?

20210819_153532.jpg
 
Askofu naye yumo kwenye mashtaka?

Ama ndiye atakuja kuwa shahidi?

Aliyefungua hii kesi baada ya hitimisho afikiriwe majukumu mapya.
 
Askofu naye yumo kwenye mashtaka?

Ama ndiye atakuja kuwa shahidi?

Aliyefungua hii kesi baada ya hitimisho afikiriwe majukumu mapya.
Tanzania Ni nchi ambayo iko nje na Dunia, ndo maana yanayofanyika hku. , Ni nadra kusikia kwingineko hko, maana wenzetu wanajua nn maana siasa za kistaarabu na kuheshimiana!
 
Hawa wafuasi wa Mbowe sasa hivi wanatukana tu huko Twita kipindi Kigogo akimtukana Kiongozi wa nchi, akidhalilisha na kutweza utu wa watanzania wengine vijana hawa wa Chadema mlikuwa mnamuona ni Shujaa!
Sasa upepo umebadilika anawatuna wao🤣 vumilieni tu, kisha jifunzeni kusimamia Haki na Ukweli kwa gharama yoyote ile.
Jifunzeni msishabikie Chuki.
Uzuri wa yote haya ni kwamba Tanzania inapiga hatua kwenda mbele kuelekea kwenye mabadiliko.

Kujifanya hakuna lolote linalotokea sasa ni kujidanganya.
 
Watulie sasa!! Vinginevyo watafungwa wakiendelea na vurugu.
Mbona askofu alisema walikuja kanisani,wakasali kwa utulivu sawa na waumini wengi kisha wakakamatwa kwa kosa la kuvaa sae za CHADEMA!!! ni hilo tu, ila sina uhakika wa polisi kupata shahidi alie mwaminifu,simtarajii askofu kwenda kuangamiza kondoo wake!!
 
Back
Top Bottom