Viongozi na mashabiki wa CHADEMA msisahau ule msemo usemao "subira ya vuta heri

Uncle Jei Jei

JF-Expert Member
Jan 7, 2011
1,684
2,157
Nikiri mapema kabisa kwamba mimi si mwanachama wala mkereketwa wa chama chochote cha siasa bali ninawaunga mkono baadhi ya wanasiasa na viongozi wenye nia na ari ya kutumikia nafasi zao kikamilifu pasipo woga wala kutegemea fadhila!

Kasumba ya kutoa matamko kila mara inaweza isilete tafsri nzuri kwa watu wasiofungwa na ushabiki.

Kilichonifanya niseme haya ni tangazo rasmi la muheshimiwa Meya wa ubungo la kuongea na wanahabari kesho.

Ni vizuri kutoa taarifa kwa umma lakini kuna baadhi ya habari hazina budi kusubiri kwanza zijikamilishe ili zije zikiwa kamili!

Kwa mfano, kuna haja gani ya kuongelea issue ya bashite kwenye vyombo vya habari wakati ndo kwanza vyombo alivyovipelekea malalamiko vinaanza kusikiliza kesi!?

Kwanini asisubiri angalau kesi iishe halafu ndo aseme hayo anayotaka kusema baada ya watanzania kujipimia wenyewe mwenendo wa kesi!?

Haoni hii haraka ya kuja kwenye media inaweza kutafsiriwa kama kusaka huruma ya wananchi!?

Nadhani kuna somo kubwa sana la kujifunza kutoka kwa Odinga! Matendo ni bora zaidi kuliko matamko ya kila siku!

Actions speak more than words! Namshauri aepuke hayo matamko na atumie muda mwingi sana kutafuta namna atakavyo komaa na hizo hujuma anazotaka kutwambia ili hatimaye aibuke kidedea maana hata akitwambia sina hakika kama kuna atakalopata huku mitaani kwetu litakalosaidia kuzuia hujuma!

Na atambue kabisa ana wajibu wa kusimama kidedete yeye kama yeye kama alivyolianzisha hadi lifike mwisho!

Odinga angekuwa wakuja kulalamika kwa wananchi kila anapoonewa leo uchaguzi usingefutwa maana hata alipotangaza watu wasiende makazini hakuna aliyemsikiliza.

Jifunzeni kutumikia nafasi zenu kikamilifu pasipo kulalamika lalamika. Maji ukiyavulia nguo shurti uyaoge
 
Nikiri mapema kabisa kwamba mimi si mwanachama wala mkereketwa wa chama chochote cha siasa bali ninawaunga mkono baadhi ya wanasiasa na viongozi wenye nia na ari ya kutumikia nafasi zao kikamilifu pasipo woga wala kutegemea fadhila!

Kasumba ya kutoa matamko kila mara inaweza isilete tafsri nzuri kwa watu wasiofungwa na ushabiki.

Kilichonifanya niseme haya ni tangazo rasmi la muheshimiwa Meya wa ubungo la kuongea na wanahabari kesho.

Ni vizuri kutoa taarifa kwa umma lakini kuna baadhi ya habari hazina budi kusubiri kwanza zijikamilishe ili zije zikiwa kamili!

Kwa mfano, kuna haja gani ya kuongelea issue ya bashite kwenye vyombo vya habari wakati ndo kwanza vyombo alivyovipelekea malalamiko vinaanza kusikiliza kesi!?

Kwanini asisubiri angalau kesi iishe halafu ndo aseme hayo anayotaka kusema baada ya watanzania kujipimia wenyewe mwenendo wa kesi!?

Subira ya vuta heri maana penye hujuma pataonekana maana hata akitahadharisha sasa hana uwezo wa kuzuia hujuma hiyo!! Kuna mifano mingi hapa.

Haoni hii haraka ya kuja kwenye media inaweza kutafsiriwa kama kusaka huruma ya wananchi!?

Nadhani kuna somo kubwa sana la kujifunza kutoka kwa Odinga! Matendo ni bora zaidi kuliko matamko ya kila siku!

Actions speak more than words! Namshauri aepuke hayo matamko na atumie muda mwingi sana kutafuta namna atakavyo komaa na hizo hujuma anazotaka kutwambia ili hatimaye aibuke kidedea maana hata akitwambia sina hakika kama kuna atakalopata huku mitaani kwetu litakalosaidia kuzuia hujuma!

Na atambue kabisa ana wajibu wa kusimama kidedea yeye kama yeye kama alivyolianzisha hadi lifike mwisho!

Odinga angekuwa wakuja kulalamika kwa wananchi kila anapoonewa leo uchaguzi usingefutwa maana hata alipotangaza watu wasiende makazini hakuna aliyemsikiliza.

Jifunzeni kutumikia nafasi zenu kikamilifu pasipo kulalamika lalamika. Maji ukiyavulia nguo shurti uyaoge
Hoja kioja toka Lumumba
 
Back
Top Bottom