Viongozi mkienda ziara nje muige yale mazuri. Botswana immigration | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Viongozi mkienda ziara nje muige yale mazuri. Botswana immigration

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Fullfigadiva J, Oct 31, 2011.

 1. Fullfigadiva J

  Fullfigadiva J Member

  #1
  Oct 31, 2011
  Joined: Sep 29, 2011
  Messages: 92
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nimekutana na muumini mwenzangu ambaye anafanya kazi Botswana na kunieleza jinsi immigration yao isivyolala usingizi kama ya kwetu. Kule kupata kibali cha kufanya kazi ni kitu kigumu na kinafuata sheria, hata ujiingize kiujanja na uowe mbotswana usitegemee utapata kibali kilaini. Hapa tunaona wakenya, malawi, ghana etc wakiwadanganya dada zetu na kuwaoa ili waweze kubenefit kufanya mabo makubwa maana la ajira halihitaji uoe mtanzania. Mfano halisi ni partner wa Delloitte ya Tanzania ndg Eshun aliingia bongo kikazi akadanganya toto la kichaga akalioa sasa anawekeza kama na yeye ni mbongo. Serikali hebu angalieni na mtie mkazo kwenye immigration mbona wote tunasafiri na tunaona jinsi nchi za wenzetu kujichanganya na kuapata Social security id ni ngumu. We need to changes in our immigration systems. Pita sinza wapopo, wacongo, wamejaa sana. Mbezi beach wamejaa wakenya, wazimbabwe, wachina. hii nchi watajaa chotara tuu. Wageni wanadidimiza uchumi on the other hand.
   
 2. arabianfalcon

  arabianfalcon JF-Expert Member

  #2
  Oct 31, 2011
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 2,292
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Mbona wa TZ wengine wana uraia wa nchi nyengine hawakatai kupokea? ukipewa na wewe lazima utoe sema wahusika ndio wanazitumia sheria vibaya
  Wenzetu wanafata sheria za nchi yao ila kwetu sisi sheria inafata pesa....
   
Loading...