Viongozi kuapa kwa kutumia vitabu vya dini je,imekaaje hiyoo?? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Viongozi kuapa kwa kutumia vitabu vya dini je,imekaaje hiyoo??

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by LUMBAKALA, Feb 1, 2011.

 1. L

  LUMBAKALA Senior Member

  #1
  Feb 1, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 147
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Mara nyingi Viongozi wanapochaguliwa ama kuteuliwa utakuta wanaapa kwa kutumia vitabu vitakatifu,yaani kama Muislamu utaapa kwa Quraan na Mkristo ataapa kwa biblia.Sasa swali linakuja wanajamii Forum tueleweshane,mbona hawa Viongozi huwa wanasahau kuwa wakati wa kuapishwa walitumia vitabu vitakatifu ila wanafisadi,wanadoans, wanadhulumu na hata kuiibia nchi ? Nielewesheni jamani
   
 2. omarilyas

  omarilyas JF-Expert Member

  #2
  Feb 1, 2011
  Joined: Jan 24, 2007
  Messages: 2,127
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Mtazamo wangu hili lifutwe kabisa na wala viongozi wa dini wasihusike katika shuhuli rasmi za kiapo. Kama ni muhimu kwa muapaji basi aandaliwe shughuli ya kidini ama kikabila baadae ambayo haitakuwa rasmi kisheria. Uzuri ni kuwa viongozi wetu wa juu wameanza kuliona hilo na kama sikosei Rais Kikwete na baadae Wziri Mkuu Pinda walitumia katiba kuapa na sio msahafu ama biblia.
   
Loading...