Viongozi Kiteto acheni aibu

JAMHURI

JF-Expert Member
Dec 15, 2010
449
60
Kila mara huwa najiuliza juu ya utumishi wa wa viongozi wa serikali ya kiteto sipati najibu yawezekana leo nikasaidiwa..

Kila mara tunashuhudia malalamiko ya wananchi wakidai haki zao kwa maana ya hidua lakini wapo watu wanaojiiya wawakilishi wa wananchi wanakazi gani

ninyi wawakilishi mnasubiri nani awawajibishe ili muwajibike hivi hili haliwezi kutatuliwa na elimu zenu au mmenunu vyeti kuna haja ya kutoa sababu?ondokeni madarakani msisubiri nguvu ya umma...
 
Back
Top Bottom