Viongozi kiasili wapo kuwatumikia wananchi na siyo kujineemesha kwa mali

Msangazi Jonas

New Member
Jul 13, 2021
4
2
Uongozi ni kitu cha asili na viongozi wapo kwaajili yetu wananchi na wao hawakupaswa kulipwa mishahara zaidi ya serikali kuzingatia viongozi wanapatiwa huduma za chakula, afya, maji, umeme n.k .

Kwa maana kama ni watoto wao watasoma bure katika shule zetu za Serikali na pia wakitaka watoto wajifunze kingereza basi walisimamie ili wananchi wote tuwekewe nguvu ili tupate walimu watakaosaidia shule za serikali kuzipa nguvu ya kuzifanya wapatie elimu zile za english medium ila kwa kuwalipa viongozi nadhani huduma nyingi ikiwemo ya elimu Tanzania tutakuwa tunaongezewa majengo ambayo watoto wao hawaji na hivyo husababisha elimu zetu kuwa duni na wao wakashindwa kuzisimamia kwa kuwa wameona madhaifu na wengi kwa kuwa wanalipwa hela za kuchezea wanatengeneza matabaka ambayo tunayaona sasa hivi.

Uongozi ni nyota ambayo inachukua jukumu la kusaidia wananchi na sio kuchukua mishahara mikubwa na kujiwekezea mali nyingi huku raia wake wanateseka kwa tamaa za madaraka, nyota ya uongozi ni njia ya kupitisha hela nyingi kwa ajili ya wengi na sio kupitisha hela nyingi kwaajili yako binafsi hivyo nashauri viongozi wasipatiwe cash in hand instead wapatiwe huduma ambazo nadhani itafanya wanaotaka hela kutoshiriki na kuzitafuta kwa njia ingine.

Last but not final, VIONGOZI HAWATAKIWI KUMILIKI PESA ILA INATAKIWA PESA IPITE KUPITIA WAO KWA MAANA FURAHA YA KIONGOZI NI KUONA WANANCHI WANAISHI VIZURI NA YEYE ATALIPWA NA WANANCHI WALIOENDELEA KUPITIA YEYE NA SIO SERIKALI.

AM not personal,I feel what am saying brothers
 
Back
Top Bottom