Viongozi Katili Afrika wakamatwe

Mpita Njia

JF-Expert Member
Mar 3, 2008
6,997
1,163
Kiongozi wa Upinzani Bungeni,Hamad Rashid ametaka viongozi wanaoua watu waobarani Afrika wakamatwe na kufikishwa katika mahakama za kimataifa kama njia ya kuhakikisha utawalabora unazingatiwa.
Alikuwa anachangia hotuba ya bajeti ya Afrika Mashariki na kusema kuwa hivi leo, kuna viongozi barabi afrika ambao wanaua watu wengi kuliko waliouawa wakati wa Ukoloni.
Aidha, aliitaka Tanzania iwe makini katika muungano huo kwa sababu kuna hatari watanzania wakaliwa, hasa katika matumizi ya rasilimali, hususani ardhi.
Alisema ana wasi wasi watanzania huenda wakalizwa katika swala hilo ukitilia maanani kuwa viongozi wa tanzania wana matatizo ya kuchelewa kufanya maamuzi, tofauti na viongozi wa nchi nyingine wananchama kama vile Kenya.
 
Pia hao viongozi ni akina nani?
Nani atakaeanza kuwakamata?huoni kuwakamata kutaleta hatavita!maana wafuasi wao hawatakbaliana na hili!
 
Kiongozi wa Upinzani Bungeni,Hamad Rashid ametaka viongozi wanaoua watu waobarani Afrika wakamatwe na kufikishwa katika mahakama za kimataifa kama njia ya kuhakikisha utawalabora unazingatiwa.
Alikuwa anachangia hotuba ya bajeti ya Afrika Mashariki na kusema kuwa hivi leo, kuna viongozi barabi afrika ambao wanaua watu wengi kuliko waliouawa wakati wa Ukoloni.
Aidha, aliitaka Tanzania iwe makini katika muungano huo kwa sababu kuna hatari watanzania wakaliwa, hasa katika matumizi ya rasilimali, hususani ardhi.
Alisema ana wasi wasi watanzania huenda wakalizwa katika swala hilo ukitilia maanani kuwa viongozi wa tanzania wana matatizo ya kuchelewa kufanya maamuzi, tofauti na viongozi wa nchi nyingine wananchama kama vile Kenya.

Waanze na MKOPA na SUMAYOWE waliouwa wazanzibora.
 
Back
Top Bottom