Viongozi hawajui kushika mtutu wa BUNDUKI!

Ndakilawe

JF-Expert Member
Jul 6, 2011
4,813
2,000
Muda huu katika kipima joto ITV, Bw. Bashiru Ally (Mchambuzi maarufu wa siasa Tanzania) Anasema viongozi wa siku hizi ni kizazi cha pili baada ya kile cha wapigania uhuru kama akina MANDELA, KENYATA, MUGABE, na wengine ambao walishika mitutu ya bunduki, walionja jela ndio maana wanauchungu na nchi zao, na rasilimali za Taifa.

Viongozi wa sasa kizazi cha Bongo flava, wanaiba rasilimali za nchi, hawana huruma na wananchi zaidi ya kujiangaliwa wao, kama ZUMA, KIBAKI, na wengine wengi...
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom