Na jaribu kutafakari aina ya viongozi waliopita na tulionao nchini mwetu Tanzania katika ngazi ya urais na uwaziri mkuu ambao yatupasa kuwaiga kwa jinsi walivyolitumikia taifa hili bado siwapati wengi kwa vigezo vya kuishi na kutenda haki, kusema kweli na kuwa wazalendo kwa nchi yao.
Kiukweli bado siwaoni labda kwa wale wanao wafahamu watu tajie kwa majina japo nakumbuka wawili au wa tatu hivi serikali ya muungano:
1. Moringe Sokoine
2. Mfaume Kawawa
3. Ali Mwinyi
4. Warioba
5. Salim Ahmed
6. Nyerere Julius.
7.....