MzalendoHalisi
JF-Expert Member
- Jun 24, 2007
- 4,423
- 1,175
Kenya kila kukicha watu wanachinjana wenyewe- karibu Wakenya wote ni Wakristo au Waislamu!
Kwa nini Viongozi wa dini wanakaa kimya na kuangalia? Wakati wa Rwanda 1994 kuna Viongozi wa dini walihusika moja kwa moja ktk yale mauaji!
Nini nafasi ya viongozi wa dini kutatua mauaji yanayoendelea Kenya?