Viongozi CHADEMA waivuruga CCM Iringa na kuondoka usiku usiku | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Viongozi CHADEMA waivuruga CCM Iringa na kuondoka usiku usiku

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mzito Kabwela, May 20, 2011.

 1. Mzito Kabwela

  Mzito Kabwela JF-Expert Member

  #1
  May 20, 2011
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 17,520
  Likes Received: 1,690
  Trophy Points: 280
  [​IMG]

  Mbowe akiwa omba kuongozwa na Mbunge Msigwa kuingia katika nyumba yake ya kisasa ili aweze kujionea ndani ubora wa nyumba hiyo ,viongozi hao wa Chadema Taifa wamempongeza mbunge huyo kwa kuwa na makazi mazuri ya kisasa hata kuliko yale ya wabunge wa CCM
  [​IMG]

  Katibu mkuu wa Chadema Dr. Willibrord Slaa na mwenyekiti wa Taifa wa Chadema Freeman Mbowe wakiwa na mbunge wa jimbo la Iringa mjini mchungaji Peter Msigwa(katikati) ambaye ni waziri kivuli wa utalii ,nyumbani kwake baada ya hafla ya kujipongeza iliyoandaliwa nyumbani kwa mbunge Msigwa Kihesa Kilolo ,waliosimama ni Fredy Mpendazoe ,Thomas Nyimbo na wengine

  [​IMG]

  Mbowe akiwa omba kuongozwa na Mbunge Msigwa kuingia katika nyumba yake ya kisasa ili aweze kujionea ndani ubora wa nyumba hiyo ,viongozi hao wa Chadema Taifa wamempongeza mbunge huyo kwa kuwa na makazi mazuri ya kisasa hata kuliko yale ya wabunge wa CCM


  [​IMG]

  Mbunge wa viti maalm mkoa wa Iringa Chiku Abwao (kulia) akiwa na viongozi wengine wa Chadema waliofika katika hafla maalum ya kujipongeza kwa maandamano makubwa

  [​IMG]

  Katibu mkuu wa Chadema Dr. Willibrord Slaa baada ya kazi nzito ,pihani ni Denis Mlowe wa radio Country Fm akiwa ameshikana mkono na katibu huyo huku Happines wa NUru Fm na waandishi wengine wakishuhudia

  [​IMG]
  Wanahabari Clement Sanga,Paulina na Happines wakijipongeza pia kwa kumaliza salama maandamano hayo kwa kupata msosi nyumbani kwa mbunge Msigwa na viongozi wa kitaifa wa Chadema


  [​IMG]

  Mbunge wa jimbo la Iringa mjini Peter Msigwa, ambaye pia ni Waziri Kivuli wa Utalii, akiwa na viongozi wengine wa Chadema katika chakula cha shukrani alichokiandaa nyumbani kwake kwa wapiga kura wake na viongozi wa Chadema kitaifa kwa kazi nzito ya maandamano ya kuivuruga CCM Iringa.

  [​IMG]

  Mwenyekiti wa Chadema Taifa Freeman Mbowe (kushoto) akiagana na mpiga picha mkuu wa gazeti la Tanzania Daima Joseph Senga ambaye alikuwa ni mmoja kati ya wanahabari wapiganaji waliozunguka mikoa ya nyanda za juu kusini katika maandamano makubwa ya Chadema ambayo yalihitimishwa mjini Iringa , hapa ni baada ya kupata chakula cha jioni kilichoandaliwa na mbunge wa jimbo la Iringa mjini Mchungaji Peter Msigwa nyumbani kwake Kihessa Kilolo Iringa

  [​IMG]  [​IMG]


  [​IMG]

  [​IMG]

  [​IMG]

  [​IMG]

  [​IMG]


  [​IMG]

  [​IMG]

  [​IMG]

  Bofya Francis Godwin ni mzee wa matukio daima: VIONGOZI WA CHADEMA WAIVURUGA CCM IRINGA NA KUONDOKA USIKU KWA USIKU, MAKAZI YA KIFALME YA MBUNGE MSIGWA YAWAKUNA...
   
 2. nsimba

  nsimba JF-Expert Member

  #2
  May 20, 2011
  Joined: Oct 7, 2010
  Messages: 785
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Big up CDM, mungu abariki Tanzania
   
 3. L

  Lilombe JF-Expert Member

  #3
  May 20, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 242
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  CDM nawapa dole kwa kujipongeza ingawa kwa kutumia pesa za watanzania kupitia ruzuku
   
 4. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #4
  May 20, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,292
  Likes Received: 19,448
  Trophy Points: 280
  tarrrrtibu wew hapo kwenye red
   
 5. Mzito Kabwela

  Mzito Kabwela JF-Expert Member

  #5
  May 20, 2011
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 17,520
  Likes Received: 1,690
  Trophy Points: 280
  Sasa matumizi ya chama ulitaka yapatikane kupitia akaunti ya babu yako?
   
 6. Chakaza

  Chakaza JF-Expert Member

  #6
  May 20, 2011
  Joined: Mar 10, 2007
  Messages: 23,651
  Likes Received: 21,865
  Trophy Points: 280
  Hii sio zile semina elekezi mkuu, wanajipongeza kwa kuweza kuamsha mioyo ya Watanzania wengi waliokuwa wamekata tamaa na nchi yao wakidhani CCM ndio mwisho wa maneno. Acha nami nijipongeze huku niliko kwa juisi ya ukwaju. Kazi imefanyika vizuri pamoja na mizengwe mingi. Iringa ya leo haiwezi kufanana na jana tena.
   
 7. Chakaza

  Chakaza JF-Expert Member

  #7
  May 20, 2011
  Joined: Mar 10, 2007
  Messages: 23,651
  Likes Received: 21,865
  Trophy Points: 280
  Wanasema Chadema chama cha vurugu na uvunjifu wa amani. Mbona katika umati huo hakuna aliyeripoti kuibiwa hata simu? Biashara za mjini mbona hazikuadhiriwa na lolote? Tuache uvuvuzela, Ni wakati wa kutangaza hadharani kuwa Chadema ndio chama cha Amani na kujali haki za Raia wa nchi hii. Na hakitaki UKONDOO, yaani kuonewa na kunyamaza.
   
 8. samora10

  samora10 JF-Expert Member

  #8
  May 20, 2011
  Joined: Jul 21, 2010
  Messages: 6,635
  Likes Received: 1,409
  Trophy Points: 280
  nimependa hayo mabango.. ukombozi wa hii nchi uko karibu kuliko tunavyofikiri, na ni wananchi peke yao watakaoikomboa hii nchi
   
 9. Barubaru

  Barubaru JF-Expert Member

  #9
  May 20, 2011
  Joined: Apr 6, 2009
  Messages: 7,162
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Kumbe Mpiga Picha Joseph Senga yupo. Nimefurahi sana kumuona kwani namkumbuka sana na SAKATA LAKE LA KUPIGA PICHA NYUMBA ZA POLISI KULE KILWA ROAD akipambana na SSP MCHOMBA wakati yupo gazeti la Mfanakazi.

  Hongera sana Senga
   
 10. Mshindo

  Mshindo JF-Expert Member

  #10
  May 20, 2011
  Joined: Mar 5, 2009
  Messages: 479
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Kwa bahati mbay tu sijaona vizuri picha inayoonesha "MAKAZI YA KIFALME" ya huyo mbunge kama alivyotaka kuwasilisha huyo mleta taarifa. Kama yupo humu anisaidie pliz.
   
 11. LOOOK

  LOOOK JF-Expert Member

  #11
  May 20, 2011
  Joined: May 17, 2011
  Messages: 3,392
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  Ccm lazima waisome mwaka huu>>
   
 12. kibakwe

  kibakwe Senior Member

  #12
  May 20, 2011
  Joined: May 10, 2011
  Messages: 171
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Jimbo la Simbachawene CHADEMA watakuwepo tarehe ngapi?BIG UP CDM
   
 13. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #13
  May 20, 2011
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,001
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160
  Pamekuchaaaaaaa!
   
 14. Ruwa tutarame

  Ruwa tutarame Member

  #14
  May 20, 2011
  Joined: May 16, 2011
  Messages: 34
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  well kazi nzuri
   
 15. M

  Mkeshaji JF-Expert Member

  #15
  May 20, 2011
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 4,264
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Sawa kilichobaki sasa ni kujipanga na kuja kuivuruga mikoa sugu kama vile Moro, Singida, Dodoma, Lindi, Mtwara, Unguja, Pemba, Pwani na penginepo.
   
 16. Manyanza

  Manyanza JF-Expert Member

  #16
  May 20, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 4,446
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Ndugu Nape! umeona wachaga wamekubali kusafirishwa mpaka iringa? ama kweli chadema inatumia ruzuku vibaya...
   
 17. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #17
  May 20, 2011
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Hiyo mikoa niliyo bold kuna wafuga ndevu wengi sana na zile suruali fupi fupi! Bila shaka unajua nina sema nini!!
   
 18. Manyanza

  Manyanza JF-Expert Member

  #18
  May 20, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 4,446
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Haahaa Mchungaji! kuna kitu nilikuwa nakisoma kuhusu hao jamaa, nitakushushia baadae...
   
 19. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #19
  May 20, 2011
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  You are entittled to use PM! Asante sana,umeona mtoto wa mchungaji?
   
 20. L

  Lua JF-Expert Member

  #20
  May 20, 2011
  Joined: May 19, 2011
  Messages: 704
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  ukiwa na mawazo kama hayo ukizeeka utakuwa dobi.
   
Loading...