Elections 2010 Viongozi CHADEMA tujulisheni kama hizi kura za urais zinaukweli!!

Ibra Mo

JF-Expert Member
Oct 27, 2010
793
101
Tunawaomba wanahusika kujumlisha kura kwenye majimbo watuambia kama haya matoke yanayotolewa na Tume yanareflect ukweli-Jamani hata Hai na Iringa mjini ccm wanaongoza!!Mi nahisi kuna mchezo mchafu hapa.
 
Mkuu Nilikuwa nafuatilia kampeni kwa mfano za Iringa Mjini haiwezekani JK awe amempita Slaa, huu ni Wizi hata Mbeya Mjini ndio kabisa
 
Inasemekana lile kontena lillilokamatwa Tunduma haikuwa uzushi ilikuwa ni kweli na lilikuwa na kura zimetikiwa JK.Kura hizo ndo zimetumika kum-maliza Slaa.Wakati matokeo yakiwa yamecheleweshwa maksudi,mawakala wanakuwa busy na kura za ubunge muda huo huo ndo wanapata muda wa kuingiza kura hizo.Mbinu nyingine iliyotumika iliyotumika ni kupiga kura tatu tatu na ushahidi upo kwa baadhi walioakamatwa pamoja na kununua shahada za kura zilizokamatwa Manzese
 
whaaaaat! JK anaongoza Iringa Mjini???

Ule mchezo wa tallying kwa kutumia computer ambao watu walihisi ungechezwa na UWT nadhani ndio unachezwa sasa kwenye hizi kura za urais; haingii akilini kuwa Jakaya anaweza kumshinda Slaa Hai na Iringa Mjini, hapa lazima kuna mchezo unachezwa na sisi tumekomalia matokeo ya Ubunge tu tukimuachia Makame akichakachua mchana kweupe!! People should start following the presidential votes closely.
 
Hivi mmesahau au? Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi (JWTZ), Inspekta Jenerali wa Polisi (IGP), Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi (NEC), Mkuu wa TAKUKURU, Mkuu wa Jeshi la Magereza, Mkuu wa Jeshi la Kujenga Taifa (JKT), Mkuu wa Usalama wa Taifa, Jaji Mkuu wa Tanzania.... wote hao wanateuliwa na Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania. Hivyo basi, itawezekana vipi kwa katiba tuliyonayo wakamgeuka Bosi wao??
 
Kwa Tabia ya Dr. Slaa tumjuaye, na kwa kuwa hawezi badilika ndani ya siku3, kama yasigekuwa kweli, angesharopoka kama ilivyo desturi yake. Ukimya huu unaashiria kukubali hali ndivyo ilivyo. Zingatio: Atagombea tena au atasimamia msimamo wa kugombea mara moja tu?
 
We ndo mropokaji coz hata hizi comment zako umeropoka tuu,Dr. Wa ukweli hakurupuki subiri izo data atakazo kuja nazo.
 
Wakati nikiwa napiga kura J2 kulikua na tetesi kua ukiweka tick kwenye jina la urais sehemu ya upinzani ukikunja na kugusana na sehemu ya pili ya ile tick inafutika.Uchunguzi ufanyike.Pia vyama vya upinzania wachukue form za majibo yote yaliyosainiwa ili wayajumlishe moja baada ya nyingine.Haiwezekani matokeo ya ubunge yawe tayari ya ubunge halafu ya urais bado.Pia Zanzibar mbona wamemaliza mapema wakati baadhi ya majimbo hapa bara bado?Lazima tujiulize.
 
Kwa Tabia ya Dr. Slaa tumjuaye, na kwa kuwa hawezi badilika ndani ya siku3, kama yasigekuwa kweli, angesharopoka kama ilivyo desturi yake. Ukimya huu unaashiria kukubali hali ndivyo ilivyo. Zingatio: Atagombea tena au atasimamia msimamo wa kugombea mara moja tu?

Dr, kanyamaza kimya tu anaangalia jinsi wanavyopeleka mchakato. Nasikia kaambiwa atulie kwani matokeo yote anayo toka kila kituo hapa TZ, mwisho wa siku naye atatoa aliyonayo.
Nimesikia JK aliwaita intelegensia kujadili hili suala la kushinda CCM ,wakamwambia inaonakana utashindwa hivo kawaagiza walete lile sanduku lililokuwa limekamatwa. Mmoja wao akalikisha dili kwani hata wajeshi wameipigia CHADEMA. huyo aliyelikisha aliundiwa dili ili auwawe, lakini wenzake wakamsitua.
Kwa hiyo jamaa anasubiri mwisho wa siku kwani copy zipo zote.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom