Nadhani CCM wakiongozwa na Kikwete akili zao zimezimia.
Wewe mtu unawezaje kulazimisha kuwa umetimiza ahadi zako? Kama umejenga barabara si watu wataona, kuna haja gani ya kila siku kesema tumefanya hili au lile?
Miaka ya 70 ndio CCM waliweza kuja na kupiga porojo tu bila wananchi kuhoji, lakini ijapokuwa mfumo ya maisha umebadilika Viongozi na wana CCM wameshindwa kabisa kubadilika na ndio mana wanaonekana kutapatapa bila mafanikio mana ndio wamefikia mwisho wa kufikiria.
Wana CCM wanaishia kufikiria kuwa 1995 = 2010, yani hawawezi kabisa kufikiria. 1995 wanajua watu wangapi walikuwa na access ya radio ambazo ni free from mkono wa government, mawasiliano ya simu, internet, mobility of people etc? Haya mambo wangeweza kuyajua bila shaka wasingeingia kichwakichwa kama sasa bila sera wala utaratibu.
TUNAHITAJI MABADILIKO, NI dhahiri Hawa si watu wa kuitoa Nchi kwenye Umasikini.
Embu fikiria Waziri anasema nchi haiwezi kufanya kitu kwenye kodi kwa sababu ya EAC, huyu kweli ni mzima kiakili? Lets join hands for Changes!