Viongozi 10 wa CHADEMA wakamatwa na polisi

Unakosaje kuchukia ikiwa wanaodakwa ni wa upande mmoja? Unataka kutuambia huyo mwenye nyumba iringa yote kazungukwa na chadema?
Hapo hakuna cha kuzunguka upande wa watuhumiwa unajulikana sema kuwatambua mmoja mmoja ndo tatizo

Msikiti hauwezi kuchomwa na mwislamu unless awe ameasi!
 
Hapo hakuna cha kuzunguka upande wa watuhumiwa unajulikana sema kuwatambua mmoja mmoja ndo tatizo

Msikiti hauwezi kuchomwa na mwislamu unless awe ameasi!

Kwa hiyo lile jengo la Tanesco lililochini ya serikali liliangushwa na kuamriwa kubomolewa na watu walio ktk sekta binafsi?
 
Msigwa anapenda siasa za chuki.
Interview zake nyingi akiwa anaongea chuki huwa iko wazi wazi
Hata huwa siamini kama ni mchungaji kweli au hili jina alipewa tu na baba yake!
Fahamu hata nguruwe na punda pià hufugwà usishangae kwa hilo
 
Wakuu kwa waliopo Iringa ni nyumba ya kiongozi gani imechomwa?taarifa tafadhali
 
Huyu anaejibu haya Majibu nahisi shule hakuna hata kidogo na kama amesoma basi shule hakufundishwa kitu ni bora a rudi akadai ada yake maana kaibiwa, huezi ukawa na Majibu haya kwenye maswali kama haya, kila sehemu mnaingiza siasa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom