MWITONGO MAARIFA
JF-Expert Member
- Aug 11, 2018
- 276
- 1,428
Nimejifunza umuhimu wa kuishi ukiwa huru, yapo matatizo ya kijamii yanatokea katika siku za hivi karibuni hasa UGONJWA, ajali na misiba. Wenzetu vyama pinzani wapo huru kuingia nyumba yoyote kutoa pole, wapo radhi waonekane wakitoa pole na hawaombi kibali wala ruhusa. Sisi Wana CCM kwanini tunashindwa kuungana na ndugu zetu kwenye shida tunabaki kupiga simu!
Kwann tunajifunza ubinadamu ukubwani badala tuzaliwe nao?Hawa ni baba zetu, shemeji zetu, wake zetu, watoto wetu, Watanzania wenzetu na mwisho binadamu wenzetu tusifundishwe kuchukiana. Inaleta faraja tukichangamana nao
Sent using Jamii Forums mobile app