Elections 2010 Vioja vyaanza rasmi Bungeni

Gsana

JF-Expert Member
Aug 28, 2010
4,383
1,321
WanaJF nimeshangazwa sana na kikao cha leo ndani ya Bunge la 10 ambapo mh.Ana Abdallah alikuwa mwenyekiti.

Hapa Mabere Marando alikuwa anaomba kura za wabunge zitoshe kuwa Spika ila Mh.Ole Sendeka kuanza kukimbia huku na huko kutafuta mic nzuri ya kuweza kutoa sauti ya kutosha. Ole Sendeka amepanda kwenye sehemu iliyowekwa kwa ajili ya wagombea ila Zitto Kabwe akamtoa baru akidai ni sehemu ya wagombea peke yao kusimama. Mama ana Abdallah akamaindi nae kakazia kuwa kamwambia Ole Sendeka asipande ila akakataa.

Baadae Ole Sendeka akauliza swali ambapo mama Ana Abdallah akamwambia kuwa ni upuuzi kuuliza swali ilo na kumkalisha kama mtoto. Upande mwingine mh.Tundu Lissu akauliza swali swali akianza na maelezo ambayo mama Anna Abdalla hakuyapenda na kumwambia Tundu Lissu akae chini na kama hajui kanuni za Bunge basi aulize wenzake. Tayari kikao kilichoongozwa na mwanamama kimetawaliwa na ubabe na umakini wa wanaume.

Angalizo: Wakati unakuja ambapo chini ya Spika asiye na uwezo basi upo mda ambapo Tundu lissu atakuwa anaongea then mh.Lowasa aingilie,then mh.Mbowe apinge wakati Mwakyembe akigomea utaratibu wa mchangiaji, wooote wakiongea kwa wakati mmoja na pia Spika asiye na uwezo wa kuwatuliza akimwaga chozi. Ni hatari kumpa Uspika mtu asiyejidhatiti.

TUSUBIRI TUONE SARAKASI. Nawatakia siku njema.
 
Hongera kwa kumuumbua mnafiki sendeka.chadema mmeanza vema mgombea wenu kafunika na zito kaonyesha amekomaa.mambo kama kenya.tundu lisu wanamhofia mno amezuiwa kuchoma fisadi.ngoja bunge lianze wataipata.kikwete alisema heri dr.slaa awe raisi kuliko tundu lisu kuwa mbunge.
 
nilisha sema juu ya hilo,kinachiohitajiika si mwanamke bali ni spika mzalendo
 
Bunge ili kama la kenya walikochapana makonde. Nimecheka sana wakati Sendeka anakimbia kimbia bungeni kama beberu na kuishia kuongea pumba. Yan kazi imeanza,mh.ZITTO nimemchagua rasmi kuwa invisible Speaker. Ni msimamo wangu kumuona Zitto ivo maana kamtoa Sendeka baruti kwa kumkataza asichangie kupitia meza ya mgombea.
 
huyu mama watamuuwa kwa bp maana bunge la safari hii ni hatari sana lina watu makini vibaya sana.....hivi Sitta yupo ukumbini kweli?
 
This granny should nw be in her house with are grandkids around her comforting her while waiting to take her final sleep.
 
Kwani ye ni spika hadi aongoze hicho kikao?

Yeye siyo spika muda wa spika umekwisha anateuliwa mwenyekiti kwa ajili kusimamia uchaguzi wa spika lakini kama mnavyojua huyu ni aina nyingine ya mbabe wetu msekwa enzi zake na hiyo ndiyo wanayopenda mafisadi watu kama akina sitta hawatakiwi hata kukumbukwa majina yao maana yanaweza kupunguza kura za ccm.
 
Hiyo ni picha halisi hata kama makinda akipita ajiandae muziki wa ukweli kwenye bunge lijalo:smile-big::smile-big:
 
WanaJF nimeshangazwa sana na kikao cha leo ndani ya Bunge la 10 ambapo mh.Ana Abdallah alikuwa mwenyekiti.

Hapa Mabere Marando alikuwa anaomba kura za wabunge zitoshe kuwa Spika ila Mh.Ole Sendeka kuanza kukimbia huku na huko kutafuta mic nzuri ya kuweza kutoa sauti ya kutosha. Ole Sendeka amepanda kwenye sehemu iliyowekwa kwa ajili ya wagombea ila Zitto Kabwe akamtoa baru akidai ni sehemu ya wagombea peke yao kusimama. Mama ana Abdallah akamaindi nae kakazia kuwa kamwambia Ole Sendeka asipande ila akakataa.

Baadae Ole Sendeka akauliza swali ambapo mama Ana Abdallah akamwambia kuwa ni upuuzi kuuliza swali ilo na kumkalisha kama mtoto. Upande mwingine mh.Tundu Lissu akauliza swali swali akianza na maelezo ambayo mama Anna Abdalla hakuyapenda na kumwambia Tundu Lissu akae chini na kama hajui kanuni za Bunge basi aulize wenzake. Tayari kikao kilichoongozwa na mwanamama kimetawaliwa na ubabe na umakini wa wanaume.

Angalizo: Wakati unakuja ambapo chini ya Spika asiye na uwezo basi upo mda ambapo Tundu lissu atakuwa anaongea then mh.Lowasa aingilie,then mh.Mbowe apinge wakati Mwakyembe akigomea utaratibu wa mchangiaji, wooote wakiongea kwa wakati mmoja na pia Spika asiye na uwezo wa kuwatuliza akimwaga chozi. Ni hatari kumpa Uspika mtu asiyejidhatiti.

TUSUBIRI TUONE SARAKASI. Nawatakia siku njema.
kichaa kaapewa rungu jamaniiii mjiandae kuona watu wanadhalilishwa...
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom