Vioja vya JK: Atunukiwa tuzo ya kimataifa ya Kilimo

Status
Not open for further replies.
Huu mchezo wa kukabili hoja kwa matusi utaacha lini?

Nimekuuliza kwa sababu unaongea mambo kama idiot. Unauliza serikali ya awamu ya nne imefanya nini kwenye kilimo? either wewe ni idiot au hauna touch kabisa na kilimo, ndio maana nimekuuliza wewe ni mkulima? Sasa jijibu mwenyewe kundi lipi kati ya hayo mawili linakufaa...
 
Yeah na Tanzania ina usalama wa chakula, utapiamlo haupo na watoto wetu hawadumai kwa kukosa lishe!
 
Yeah na Tanzania ina usalama wa chakula, utapiamlo haupo na watoto wetu hawadumai kwa kukosa lishe!

Ifike mahali marais wetu waone aibu na hizi tuzo wasizostahili. karume moto alipewa hadi PHD ya heshima kwa kukomesha malaria zanzibar, nenda leo hospitali ya nazi mmoja uone foleni za wagonjwa wa malaria walivyojazana
 
Nimeiona hii taarifa ya Ikulu nimecheka sana. Hebu isomeni nanyi muone.

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
RAIS KIKWETE ATUNUKIWA TUZO LA KIMATAIFA LA KILIMO
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete ametunukiwa Tuzo Maalum ya Sera za Usalama wa Chakula na Uongozi Katika Sekta ya Kilimo ikiwa ni ishara ya kuthamini mchango wake na uongozi wake katika sekta hiyo ya kilimo.

Tuzo hiyo imetolewa na Taasisi ya Mtandao wa Kutathmini Sera za Kilimo na Maliasili – Agriculture and Natural Resources Policy Analysis Network (FANRPAN) katika hafla maalum iliyofanyika jioni ya jana, Jumatano, Septemba 5, 2012, wakati wa mkutano wake wa mwaka unaofanyika kwenye Hoteli ya White Sands mjini Dar es Salaam.

Rais Kikwete anakuwa kiongozi wa tano wa Afrika kupokea Tuzo hiyo ambayo kwa lugha ya Kiingereza inajulikana kama Food Security Policy Leadership Award tokea kuanzishwa kwa Tuzo hiyo mwaka 2008 wakati ilipotolewa kwa aliyekuwa Rais wa Malawi, Hayati Bingu Wa Mutharika.

Viongozi wengine ambao wamepata kutunukiwa Tuzo hiyo ni Rais Armando Emilio Guebuza wa Mozambique mwaka 2009, Rais Hifikepunye Pohamba wa Nambia mwaka 2010 na Malkia, Mama wa Mfalme Ntombi, Indlovukazi wa Swaziland.Akizungumza mara baada ya kupokea Tuzo hiyo, Rais Kikwete aliwapitisha washiriki wa mkutano huo kwenye hatua zote ambazo Serikali yake inachukua kupambana na changamoto zote zinazokifanya kilimo cha Tanzania kubakia kwenye uduni ikiwa ni pamoja na kuongeza maeneo ya umwagiliaji, matumizi ya mbegu bora, matumizi ya madawa ya kuua wadudu, matumizi ya mbolea nyingi zaidi, uboresha wa miundombinu ya barabara vijijini, uimarishaji wa vikundi vya ushirika wa uzalishaji na upanuzi na uimarishaji wa masomo.

Imetolewa na
:

Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais,

Ikulu.

Dar es Salaam
.
6 Septemba, 2012

My Take: Kwa kipi alichokifanya kwenye kilimo? au ndio kutaka kutuonyesha kuwa ni kweli KILIMO KWANZA na sio ELIMU KWANZA kama EL alivyosema???

Tanganyika na Tanzania kuanzia 1940's mpaka 1961 ilikuwa inajitosheleza kwa chakula, kulikua hakuna nja wala uhaba wa chakula. hali hii iliendelea mpaka uhuru 1961 mpaka 1967,
baada ya hapo kuanzia 1968 hadi 1986-6 hali ya chakula nchini ilikua mbaya, japo mvua zilikuwepo, ardhi ndio tunayo ya kutosha lakini lakini ilibidi katika kipindi hichi cha miaka karibu ishirini watanzania hawakua na uhakikia wa mlo wao, wale wa mijini na vjijini (vijiji vya ujamaa)
ilibidi chakula kigawiwe kwa mgao kwa kaya,
kila kaya ama family tulikuwa na ration book ambapo kila familia imepangiwa kilo kadhaa kwa wiki za cha kula ambacho hata hakikidhi wiki moja
kutokana na uhaba mkubwa uliokuwepo ilibidi serikali wakati huo iuombe chakula cha msaada na USA wakatuletea ugali ama sembe la unga wa manjano.inasemekana hili kule marekani wana kula ngombe
lakini walikua wakimkomoa mzee na sera zake za vijiji vya ujima
hali iliaanza kubadilika kidogo kidogo 1986 kuendela ingawa sio kwa kujitegemea kuzalisha chakula moja kwa moja lakini chakula cha kuagiza kilichukua sehemu kubwa ya akiba yetu
kuanzia hapo serikali iliamua kuachana na sera za vijiji vya ujima na wakulima wadogo dogo waliazisha kilimo hapa na pale ambacho kilisaidia sana kuondoa uhaba wa chakula na kupunguza uagiziaji wa chakula kutoka nje.
hali hii imeendelea hadi 2005.
ama kuanzia 2006 serikali imeanzisha mipango madhubuti na sera ya kilimo kwanza ambayo imesaidia sana kuondoa tatizo la chakula hapa nchini.
na kwa mara ya kwanza tangia uhuru angalau serikali inakuja na sera yenye macho ya kusaidia ukuaji wa secta ya kilimo kwa kuwasaidia watu binafsi
hivyo ukichukulia tulikotoka , sasa serikali na rais amekuja na sera yenye mshiko , sera ambayo wataalam mbali mbali wameshiriki na wanashiriki kuioboresha .
kutoka vijiji vya ujima hadi kilimo huria basi kwa kweli anastahiki nishani za kila aina
HONGERA KIKWETE KWA HILI
 
Mkuu inawezekna media spin wakati mwingine zinatupa mambo mengi. Japo kuna mazuri yamefanyika (kwenye awamu zote), lakini klimo kimeendelea kudidimia kuliko hapo mwanzo baada ya uhuru. Jiulize kilimo kinachangia nini kwenye GDP, kinachangia asilimia ngapi ya fedha za kigeni. KIsha jiulize mchango na jitihada za serikali kuwekeza kwenye kilimo, bajeti imeongezeka mara kadhaa (isipokuwa mwaka huuu wa 2012/13 ambao haijulikani kiasi gani serikali imewekeza), utagundua kuwa tija (productivity) ni chini ya asilimia 1 wakati population growth ni almost 3%. Angalia masikini sana Tanzania ni kina nani, ni wakulima, angalia wenye kutishiwa na baa la njaa Tanzania ni kina nani, ni wakulima! Japokuwa tuna Kilimo Kwanza (KK), SAGCOT na mengine kina nani wanafadika (kama wapo) na je ongezeko la bajeti ni sawa na ukuaji wa sekta ya kilimo? Jioni njema.
Sitakuwa na muda wa kukueleza kila kitu hapa. Ila waweza kufunguka macho kwa kusikiliza mara kwa mara RTD na kuangalia TBC1. Kuna vipindi vizuri sana vya mafanikio yetu kwenye kila nyanja ikiwa ni pamoja na kilimo. Utashangaa kwamba tumepiga hatua sana na dunia inasifia maendeleo yetu hususan kwenye kubadilisha kilimo.
 
Nadhani na ile "NISHANI YA JUU YA KIGUU NA NJIA" haiko mbali. That will be pretty fitting to our very own version of Vasco da Gama
 
There is more to food self sufficiency than mere balancing of the equation, Question/is food available at right place, at right time, at right price? Right price ie affordable to low income Tanzanians,
 
Ningekuwa mi JK nisingepokea ili kulinda heshima yangu mbele ya waTZ; ina maana dhamira haimsuti jamani au usanii kila mahali?
 
Hawa ndio wamempa tuzo Rais:

Evidence on the origins and legitimacy of FANRPAN is detailed in the: (i) Report by Ministers of Agriculture of Eastern and Southern Africa, April 1994 and (ii) COMESA Official Gazette Vol. 1 No. 1, December 1994.

1. Preamble

Recalling that the Food, Agriculture and Natural Resources Policy Analysis Network (FANRPAN) for Africa is a autonomous, non-profit, scientific organization operational in Member States of Africa with a mandate to co-ordinate policy research and dialogue and recommend strategies for promoting food, agriculture and natural resources sectors in Africa by:
  • Carrying out mutually agreed collaborative research and institutional development activities;
  • Publishing and disseminating research results;
  • Providing technical support to national and regional programs;
  • Providing opportunities for training and professional development;
  • Organizing workshops, scientific conferences and seminars;
  • Providing access by the Government to database of information on policy making, advocacy and dialogue; and
  • Facilitating linkages of co-operating institutions with relating activities carried out by other participants in FANRPAN's policy research and professional development programmes.
2. Call by Ministers of Agriculture and Environment in Eastern and Southern Africa: 1994

On the 14[SUP]th[/SUP] to the 15[SUP]th[/SUP] of April 1994, the Ministers of Agriculture for Eastern and Southern Africa (ESA) met in Harare, Zimbabwe to develop a strategy and plan of action for promoting agriculture in the region. The report by the Ministers stipulates the following:
  1. Clause 2.10: A number of shortcomings currently inhibit the ability of ESA countries to address the poor performance of the sector. One important constraint is the general absence of comprehensive agricultural policies. Coupled with this constraint is inadequate capacity by most national and regional institutions in addressing agricultural policy and running effective farmer-support institutions, such as research, extension, credit, marketing and storage facilities.
  2. Clause 10.2: Time has come for Ministers of Agriculture to increase the debate and dialogue on a "co-ordinated regional agricultural policy" in ESA, or at least by sub-regions East and South. Existing regional institutions have pioneered regional cooperation in areas of food security, research, environment and land management, livestock production and disease control, fisheries, forestry and wildlife.
  3. Clause 10.3: That a Regional Agricultural Policy Analysis and Research Network be created in order to reduce dependence on foreign experts as ESA countries develop comprehensive agricultural policies and food security strategies. The network will also, in collaboration with regional universities, be responsible for research and analysis leading to the coordination of agricultural policies and strategies in ESA.

    ESA countries need to coordinate and rationalize investment policies so as to promote agribusiness development particularly in the areas of food processing. In addition efforts need to be intensified in rural agro-based industrial development to enhance value-added and creation of employment.
  4. Clause 11: Develop comprehensive and implementable agricultural policies which encompass the key prime movers of agricultural development;

    That a Regional Agricultural Policy Network be created to enhance indigenous capacity for policy formulation and analysis.

    That this Network assist the convening of the Conference of Ministers to review the progress in the implementation of agricultural sector policies and strategies.
3. Response by COMESA Secretariat: 1994

In December 1994, the then Secretary-General of COMESA, Dr. Bingu wa Mutharika released the following declaration in the Official COMESA Gazette (Volume 1, Number 1, clause 23) published by the order of the COMESA Council:

Clause 23: Council adopted the following recommendation regarding food security in the region:
  1. The Annual Conference of Ministers of Agriculture for Eastern and Southern Africa (CMA-ESA) as constituted in a meeting on 14-15 April, 1994 in Harare, Zimbabwe, should be the Policy Organ for food security in the COMESA region.
  2. A permanent Food Security Technical Committee (FTSC) composed of technical experts from IGADD, COMESA and SADC should be formed to serve as the technical advisory body to the Conference of Ministers.
4. Response by the SADC Communities: 1997

For the Southern Africa Development Community (SADC) region, a consultative meeting was convened by the Food Security Technical and Administrative Unit (FSTAU), Southern African Centre for Cooperation in Agriculture and Natural Resources Research and Training (SACCAR) and the Department of Agricultural Economics and Extension at the University of Zimbabwe.

The Department of Agricultural Economics and Extension at the University of Zimbabwe then facilitated the launching of a regional Food, Agriculture and Natural Resources (FANR) consortium and network for Southern Africa at a meeting held in July 1997. The participants at the launch were drawn from ministries of agriculture, farmers' organisations, research organisations and universities in the SADC region.

The policy consortium was established to build on a long-term investment and commitment already made in universities, national agricultural research institutes and policy analysis units in Southern Africa and to enable policy analysis units to collaborate more efficiently and service the policy makers and other stakeholders in the SADC region.

5. FANRPAN Registration: 2003

To give effect to the wishes and desires of the member states in the SADC region (Botswana, Malawi, Mozambique, Namibia, South Africa, Tanzania, Zambia and Zimbabwe), the various farmers' organisations, research institutions, departments of agricultural economics at universities, agricultural experts and academics, non-governmental and private sector organisations involved in agriculture, and other stakeholders, the following institutions collectively promoted the establishment of a network which was to be constituted as an independent universitas in terms of this Constitution. The original promoters of the Policy Network are:
  • Directorate of Research and Development, University of Botswana, Botswana.
  • Agriculture Policy Research Unit, University of Malawi, Malawi.
  • Department of Agricultural Economics, Eduardo Mondlane University, Mozambique.
  • Namibian Economic Policy Research Unit, Namibia.
  • Department of Agricultural Economics, Extension and Rural Development, University of Pretoria, South Africa.
  • Economic and Social Research Foundation, Tanzania.
  • Department of Agricultural Economics, University of Zambia, Zambia.
  • Southern African Policy and Economic Series Trust, Zimbabwe.
  • Department of Agricultural Economics and Extension, University of Zimbabwe.
The Promoters of the Network further agreed on the following:
  1. The Network shall be known as the Food, Agriculture and Natural Resources Policy Analysis Network or in short, FANRPAN
  2. The registered office of the Network shall be situated at the offices of the SADC Food Security and Rural Development Hub at 12th Floor, Social Security Centre, Julius Nyerere Way and Second Street, Harare, Zimbabwe, or at such other address as the Network may, from time to time, decide.
  3. The registered office of the Network shall serve as the Headquarters of the Network and shall house the Secretariat of the Network.
  4. The Network shall be a distinct and separate legal entity and body corporate, with the power to acquire, hold and alienate property of any kind, and with the power to acquire rights and incur obligations, and having perpetual succession.
FANRPAN was registered on the 18[SUP]th[/SUP] of March 2003 by the Zimbabwe Registrar of Welfare Organisations in March 2003; in compliance with sub-section 5 of section 9 of the Welfare Organizations Act.

6. Accreditation of FANRPAN Regional Secretariat by the Government of the Republic of South Africa: 2005

In 2005, the FANRPAN Regional Secretariat relocated from Zimbabwe to South Africa.
  1. In March 2006, the FANRPAN Secretariat signed a Host Agreement with the South African government which details that FANRPAN shall enjoy in the furtherance of its official functions treatment not less favorable than that accorded to other international organisations in the Country.
  2. FANRPAN shall enjoy, for its official communications, treatment not less favorable than that accorded by the Government to any other government, including the latter's diplomatic mission, in the matter of priorities, rates and taxes on mails, cables, telegrams, radiograms, telephotos, telephone, and other communication, and press rates for information to the press and radio.
  3. The Government shall accord to the Chief Executive Officer the same privileges and immunities, exemptions and facilities as diplomatic representatives at Missions.
7. FANRPAN Constitution and Strategic Plan: 2007

In 2005 FANRPAN embarked on a revitalization strategy which entailed consultations of stakeholders, revision of the Constitution and the development of a strategy and business plan.
  1. FANRPAN's 2007-2015 strategy is aligned with the time frame of the Millenium Develompent Goals (MDGs):
    1. Focus on three (3) strategic areas: Capacity Building, Policy Research and Policy Advocacy;
    2. Focus on four (4) programme areas: Food Systems, Agricultural Productivity - Markets, Natural Resources and Environment, Social Protection and Livelihoods;
    3. Organogram for the Network
    4. Business plan.
  2. Revisions to the constitution included amongst others the following:
    1. Annual General Meeting Vote: reduction of voting numbers from four (4) delegates to one (1) per country
    2. Board Membership: reserved seats for SADC and COMESA and donor representative
    3. Admission of additional Member Countries from the SADC region other than the original "Promoters"
    4. Change of physcial address of the Regional Secretariat
8. FANRPAN Goes Africa-wide: 2010

In 2010 at the FANRPAN Annual General Meeting in Namibia the Network members passed the following resolutions:
  1. That the constitution must be amended to reflect that FANRPAN draws its members from Africa and the Diaspora;
  2. That the two governmental seats on the Board must now be permanently held by Zimbabwe and South Africa, the two hosting member states, where the Network was registered and the current host of the Regional Secretariat respectively.
  3. The Research seats be reserved for Association for Strengthening Agricultural Research for Eastern and Southern Africa, (ASARECA) and the newly established Centre for Coordination Agricultural Research and Development for Southern Africa (CCARDESA)
 
Hii habari nashindwa kuielewa vizuri. Is it All fools day?

JULISHO:

Unapomuona Mhindi akijihusisha na mambo ya siasa ujue kuna jambo.



A



Rais Jakaya Mrisho Kikwete akikabidhiwa Tuzo ya Uongozi Bora wa sera ya Kilimo na Chakula toka kwa Bw. Ajay VAshee, Makamu Mwenyekiti wa asasi isiyo ya kiserikali inayohusika na sera za kilimo na chakula na Maliasili n ijulikanayo kama Food, Agriculture and Natural Resources Policy (FANRPAN) katika hoteli ya White Sands jana Septemba 5, 2012. Anayeshuhudia kulia ni Katibu Mtendaji wa FANRPAN) Dkt Lindiwe Sibanda. Tuzo hiyo, ambayo hutolewa kwa kiongozi aliyefanya juhudi kuhakikisha kuwepo kwa sera bora za kilimo na chakula nchini kwake, ilichukuliwa na Malkia Ntombi Indlovukazi wa Swaziland mwaka jana, wakati Rais Hifikepunye Pohamba alitunukiwa mwaka 2010, Rais Armando Emilio Gwebuza mwaka 2009 na Rais wa Malawi, Hayati Bingu Wa Mutharika, aliipokea mwaka 2008.



Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiangalia baadhi ya ng'ombe anaowafuga kwa kufuata njia za kisasa kwenye shamba lake kijijini kwake Msoga, Chalinze, Wilaya ya Bagamoyo, leo Septemba 6, 2012.




PICHA NA IKULU
 
Bila shaka wame kosea alitakiwa kutunukiwa tuzo la mauaji manake morogoro,igunga,
arumeru,mwabwepande nk.chama chake kime simamia show ipasavyo utadhani ndio kaulimbiu yao!duuuh hii kali ndio maana kipindi hiki hata mtoto wa chekechea anavalishwa joho!
 
Huyo jamaa mtoa tuzo ametoka wapi? Naona alianza na Inkosikati Ntombi kisha akaenda kwa viongozi wa Afrika kusini mwa jangwa la sahara. Asije akawa anainyemelea ardhi au asije akawa ndiyee muuza matrekta yale ya Kihindi.
 
Duu Mazizi mazuri kiliko hata baadhi ya madarasa mengi nchini wanayosomea wanafunzi/watoto wetu

Duh mkuu una mambo! Hebu lete picha moja ya darasa la nyasi naikumbuka moja maarufu ilikuwa darasa moja huko Wilayani Bagamoyo. Mimi bahati mbaya natumia mchina ningeisaka.
 
Status
Not open for further replies.
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom