"vioja jamani"

y-n

JF-Expert Member
Apr 20, 2013
2,389
2,500
katika
tamasha la ugawaji wa tuzo za wasanii wa filamu kinachorushwa muda huu
moja kwa moja toka Ubungo plaza,kioja chaibuka.Mwl JK Nyerere atajwa kama
mshindi wa filamu bora ktk category ya (kumbukumbu ya utaifa!).Baada ya
kushindwa kutokea jukwaani yeye(Mwl JK) au muwakilishi toka familia yake
ndipo marekebisho yakatolewa kuwa mshindi ni Steve Nyerere.
 
Ni kosa la mshereheshaji alishindwa kutaja vema jina la tuzo na msanii anepewa,na ndio maana yule jamaa akapanda jukwaani kutoa ufafanuzi kwa mshereheshaji.:llama::llama:
 
Ni kosa la mshereheshaji
alishindwa kutaja vema jina la tuzo na msanii anepewa,na ndio maana yule
jamaa akapanda jukwaani kutoa ufafanuzi kwa
mshereheshaji.:llama::llama:

kwamba mshereheshaji huyu hakujua kuwa Mwl JK Nyerere hayupo duniani tangu 1999?au ndio kukurupuka?
 
Back
Top Bottom