Vioja:Abiria ashushwa kwenye ndege kwa sababu ya uzito mkubwa

Wamarekani wengi wana uzito mkubwa hawa wanaocheza mpira wa kikapu hawapandi ndege maana wengi wana uzito zaidi ya huo..Tyson,Evernder au Michael jordan wao wanasafiri vip maana naamini wote hao wamezidi uzito huo..
 
Hilo shirika litakuwa linabeba Ma-Miss tu. Maana huo uzito ni wa kawaida tu halafu mtu anakataliwa kupanda ndege
 
Mleta mada umetumislead. Mbona habari inasema uzito wa ndege ulizidi ikabidi wachague abiria wawili wa mwisho kicheck in washuke na yy akiwa mmoja wao
 
Sasa yule mcheza mieleka anayeitwa BIG SHOW mwenye 210kg huwa anapanda ndege gani
 
Back
Top Bottom