Viogozi wengi wa CHADEMA na CCM na NCCR-Mageuzi hamna adabu, dawa yenu inachemka

sifi leo

JF-Expert Member
Mar 30, 2012
3,390
2,000
Kwa kuwa tunaelekea kwenye uchaguzi mkuu ni vyema watanzania hasa wanasiasa tuwambie ukweli kuwa HAMNA ADABU NA pengine hamjafundishwa adabu na wazazi wenu.

Hivi inawezekanaje sisi wananchi tunakuchagua unakuwa kiongozi wetu ila siku ya kuacha kazi tuliyokupa unakilimbilia kwenda kutangaza eneo ambalo hujachaguliwa?

Kwanini mtu kama kiongozi unatak kutoa tamko lolote pengine kuhusu taifa au kuhusu jambo lolote la kitaifa kwa nini huongelei JIMBONI KWAKO?

SASA tunawatak mjiandae tumechoka ujinga huu, fatilia viongozi walio hama vyama vyao wengi waeeda kujiuzulia mbele ya wazaramo ili hali wlichaguliwa na wachaga, waarusha, au hat wamekonde kwani wazaramo ndo mdebwedo?

Kumbe mnajua kuwa mkituita mkaacha kazi mbele yetu mnaofia tutawapa mkong'oto siet?

Sasa endeleeni kufanya ujinga huo jianndaeni msimu wa uchaguzi mje walah mtachezea bakora.
 

fazili

JF-Expert Member
Jun 10, 2011
3,241
2,000
Kabisa hakuna kufanya makosa October tuwapige chini hawa viongozi hamahama wanaotafuta kula yao huku na huko na sio maslahi ya wananchi waliowachagua.
 
Top Bottom