Vinywaji Hatarishi hivi hapa, Redbull nayo ipo

Ambiente Guru

JF-Expert Member
May 21, 2012
2,596
1,071
Hatari ya kunywa "Energy drinks" mfano Red Bull, Spike nk. imewekwa bayana na wanasayansi.

Wamehatarisha vinywaji hivi ni hatari huchanganya mapigo ya moyo.

Vina kiwango kikubwa cha caffeine na hatarishi.

Huharakisha mapigo ya moyo na kusababisha kuzimia na hata kifo cha haraka.


Nimeona wanadada na wapambe wakiviagiza/ agiziwa kwa wingi utafikiri wanakomoana kifedha.


Souce BBC
2 December 2013 Last updated at 05:59 GMT Share this pageEmail Print Share this page

ShareFacebookTwitter.Caffeine energy drinks 'intensify heart contractions'Energy drinks


Energy drinks packed with caffeine can change the way the heart beats, researchers warn.

The team from the University of Bonn in Germany imaged the hearts of 17 people an hour after they had an energy drink.

The study showed contractions were more forceful after the drink.


"The amount of caffeine is up to three times higher than in other caffeinated beverages like coffee or cola.

"There are many side effects known to be associated with a high intake of caffeine, including rapid heart rate, palpitations, rise in blood pressure and, in the most severe cases, seizures or sudden death."
 
mbona umeitaja redbull pekee, tutajie na vingine kwa majina.
 
EEE bhana eee , sasa itakuwaje mkuu ? mbona mimi nimezibugia sana aisee !
 
Mboni mumethahau kitimoto jamani...aaah,kumbe munazungumuzia vinywaji teh teh!sasa hapo unekunywa "redbull" halafu uneisindikiza na "red mnyama",yaani wewe ukifika 40 years tu,tukikupulizia vuvuzela sikioni tu,tunazika!
 
na bia je? hata cocacola ina madhara bana.....only kitimoto ndo haina madhara. Wachina wanaishi miaka mia kwa kula k.moto
 
marekan, ufaransa, german zilishapiga marufuku kinywaj cha red bull kina cocaine nying na usababisha kifo.
serikali zenu vip zinawajali kweli?
 
yas inakimbiza mapigo ya moyo sana, for sure unatakiwa kunywa pale inapokuwa hakuna jinsi,. yaani umechoka saaana na unajambo la msingi sana, lakin ni ajabu wakati wenzio wanafakamia mi bia wewe unagiza redbl kwa kiwango sawa na wenzio wa bia
 
Chief72 [unatakiwa kunywa pale inapokuwa hakuna jinsi]

Kweli uwe na sababu hasa wale wanaoandika maripoti makubwa (Consultants) ambapo inabidi kukesha au unaendesha gari usiku.
Watu wawili walikufa Sweden ? walipokunjwa wakijiandaa kukesha.
 
Mboni mumethahau kitimoto jamani...aaah,kumbe munazungumuzia vinywaji teh teh!sasa hapo unekunywa "redbull" halafu uneisindikiza na "red mnyama",yaani wewe ukifika 40 years tu,tukikupulizia vuvuzela sikioni tu,tunazika!

Searching...100%
Loading...100%
Network Connected !

Near by Silver Coin Hotel Mbeya.
 
Redbull nakubali,maana mie nikinywa mapigo ya moyo lazima ya change na hakuna anaetumia kwenye Family yangu.
Na kuna Rafiki yangu kutoka ukanda wa Scandinavia alisema baadhi ya nchi kwao wamepiga marufuku kabisa.

Anasema unaweza kutumia ila kwenye Age ya 40+ mziki utaanza kuuona.

Issue sio kuponda mtoa mada issue ni kila mtu aitahadharishe familia yake.Maana hao wabishi ndio siku ya pili unawakuta kwenye Forum ya Dokta wakitaka ushauri.
 
Back
Top Bottom