Vinywaji Hatarishi hivi hapa, Redbull nayo ipo

Nilishawahi mara kadhaa kusikia hizo taarifa, ila mimi mwenyewe sina ushahidi wa kutosha

Inaweza ikawa mbinu za kuuliana biashara, huwezi jua biashara zina kila aina ya ushindani
 
Hatari ya kunywa "Energy drinks" mfano Red Bull, Spike nk. imewekwa bayana na wanasayansi.

Wamehatarisha vinywaji hivi ni hatari huchanganya mapigo ya moyo.

Vina kiwango kikubwa cha caffeine na hatarishi.

Huharakisha mapigo ya moyo na kusababisha kuzimia na hata kifo cha haraka.


Nimeona wanadada na wapambe wakiviagiza/ agiziwa kwa wingi utafikiri wanakomoana kifedha.


Souce BBC
2 December 2013 Last updated at 05:59 GMT Share this pageEmail Print Share this page

ShareFacebookTwitter.Caffeine energy drinks 'intensify heart contractions'Energy drinks


Energy drinks packed with caffeine can change the way the heart beats, researchers warn.

The team from the University of Bonn in Germany imaged the hearts of 17 people an hour after they had an energy drink.

The study showed contractions were more forceful after the drink.


"The amount of caffeine is up to three times higher than in other caffeinated beverages like coffee or cola.

"There are many side effects known to be associated with a high intake of caffeine, including rapid heart rate, palpitations, rise in blood pressure and, in the most severe cases, seizures or sudden death."
tushazoea hili saga..
 
Back
Top Bottom