ving'amuzi

Elijah

JF-Expert Member
May 28, 2012
1,663
416
wakuu nimetumiwa sms kuwa nikae tayari kuangalia itv,capital,iman tv,kupitia dikoda mpya ya hd yaenye mpeg4 na usdb kutoka btl,je ni nani hawa btl???
 
HONGERA bwana PONO, mi naomba kujuwa wapi nitapat king'amuzi cha kukamatia ABOOD TELEVISION Ya morogoro. Hii Tv inanipa raha sana siku za weekend.
 
pono nadhani ndio kampuni hiyo ya tatu ambayo tcra walisema yataendesha matangazo kwa njia ya dijitali yakiwamo startimes na ting
 
Last edited by a moderator:
wakuu nimetumiwa sms kuwa nikae tayari kuangalia itv,capital,iman tv,kupitia dikoda mpya ya hd yaenye mpeg4 na usdb kutoka btl,je ni nani hawa btl???
kuna thread moja ipo jukwaa la technology Superman ameeleza vizuri sana
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom