Ving'amuzi vya star times

Twinky

Senior Member
Jun 10, 2010
114
23
Jamani wana jamii wenzangu! Hivi ving'amuzi me mbona sivielewi kipi ni kipi? maana naskia kuna vya startimes na Tiang sasa kipi kizuri nataka ninunue maana bei naona affordable.. tatizo sijui quality ya service zao. Naombeni ushauri tafadhali. au kama kuna mtu yeyote anamjua anaefanya kazi huko... thanx
 
Unaposema kipi ni kizuri una maana gani?, maana hayo ni makampuni 2 tofauti. Ninachoweza kuchangia hapa ni kuwa Startimes wako kwa mgongo wa TBC hivyo kwa channel za Bongo utapata TBC 1&2 Channel Ten na Sibuka (hii ni mpya), ila kuna channel nyingine nyingi za nje. Kwa upande wa Ting wao ni kwa mgongo wa AGAPE TV, mbali na Agape utapata pia Local channel karibu zote za Bongo. Pia nao wanazo channel za nje nyingi tu. Kwa upande wa service, nafikiri si mbaya hasa kwa kulinganisha na viwango vyetu.
 
Nashukuru. Niliposema ipi ni nzuri maana kwa channels maana watu wengine naona wanaiponda wanasema hakuna chanels za maana mara nyingine hazionekani , mara za kichina ni nyingi. Ila umenieleza vizuri I think i will go for Ting as ina local channels zote! b blessed
 
Jamani wana jamii wenzangu! Hivi ving'amuzi me mbona sivielewi kipi ni kipi? maana naskia kuna vya startimes na Tiang sasa kipi kizuri nataka ninunue maana bei naona affordable.. tatizo sijui quality ya service zao. Naombeni ushauri tafadhali. au kama kuna mtu yeyote anamjua anaefanya kazi huko... thanx
<br Ebwana jaribu hivi vya startimes coz they give out clear pictures with high strength and quality.
 
Back
Top Bottom