ving'amuzi vya azam vimetoka leo

Eddy Love

JF-Expert Member
Jul 25, 2011
13,652
8,539
vina channel 50 na malipo yake kwa mwezi 12500/= ila kwa channel za bongo ITV haipo
 
tumejadili mbaka tumechoka wewe ndo unajua leo. Uwe unapitia humu sio kukurupuka tu
 
vina channel 50 na malipo yake kwa mwezi 12500/= ila kwa channel za bongo ITV haipo

Watu wamefunga hizo dish zaidi ya wiki mbili sasa wewe ndiyo unaleta info leo,watu washajadili khs channels na kila kitu. Hili gazeti lako limechelewa sana mkuu.
 
kaka nisaidie link nione mlivyojadili
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom