Vincent Nyerere yuko wapi?

Mpigie simu. Ila atakua anajipanga kurudi 2020 huko kwao mkuu
 
Vincent alikuwa chadema Slaa kwa hiyo huwezi kumsikia sana kwenye hii chadema lissu chini ya EL.
 
Chadema ishatumbukia ktk Korongo la ukanda

Hivi kweli ni chadema tu? Ebu tuone:
Chadema: Mwenyekiti Kaskazini
Makamu wawili: Mmoja Zanzibar na mwingine Pwani
Katibu Mkuu: Mwanza/Shinyanga
Vijana: Kaskazini
Wanawake: Kagera
Wazee: Kagera

CCM: Mwenyekiti - Ziwa/Geita
Makamu: Zanzibar na Njombe
Katibu Mkuu: Kagera/Ziwa
Vijana: Mwanza/Ziwa
Wanawake: Mara/Ziwa
Katibu Wazazi: Ziwa/Simiyu

Nani Mkanda zaidi?
 
Hivi kweli ni chadema tu? Ebu tuone:
Chadema: Mwenyekiti Kaskazini
Makamu wawili: Mmoja Zanzibar na mwingine Pwani
Katibu Mkuu: Mwanza/Shinyanga
Vijana: Kaskazini
Wanawake: Kagera
Wazee: Kagera

CCM: Mwenyekiti - Ziwa/Geita
Makamu: Zanzibar na Njombe
Katibu Mkuu: Kagera/Ziwa
Vijana: Mwanza/Ziwa
Wanawake: Mara/Ziwa
Katibu Wazazi: Ziwa/Simiyu

Nani Mkanda zaidi?
akikujibu ni tag
 
Hivi kweli ni chadema tu? Ebu tuone:
Chadema: Mwenyekiti Kaskazini
Makamu wawili: Mmoja Zanzibar na mwingine Pwani
Katibu Mkuu: Mwanza/Shinyanga
Vijana: Kaskazini
Wanawake: Kagera
Wazee: Kagera

CCM: Mwenyekiti - Ziwa/Geita
Makamu: Zanzibar na Njombe
Katibu Mkuu: Kagera/Ziwa
Vijana: Mwanza/Ziwa
Wanawake: Mara/Ziwa
Katibu Wazazi: Ziwa/Simiyu

Nani Mkanda zaidi?
Ahsante Mkuu,
Hapo hatujagusa wakuu wa idara, mashirika na taasisi za Sirikali
 
Ahsante Mkuu,
Hapo hatujagusa wakuu wa idara, mashirika na taasisi za Sirikali

Usisahau wakuu wa vyombo vya dola. Kimsingi CCM imejipokonya hoja yake ya siku nyingi ya kuwasema Chadema kuwa ni chama ukanda na ukabila. Sitegemei tangu sasa mtu anainua tena kichwa kuwasema Chadema.
 
Mmeshamkumbuka endeleeni kuisoma namba.
Kila kitu kimelala pale Musoma Mjini.
Soko la Samaki pale Mwigobero lishakufa mzunguko wa Pesa hakuna tena ,wakuwatetea ni nani.?
Vicent alikuwa na uthubutu .
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom