Fundi Mchundo
Platinum Member
- Nov 9, 2007
- 8,940
- 6,852
Makongolo huyo huyo alikuwa akimpigia kampeni Vincent Musoma Mjini.
Tulieni tuwasulubu.
Ndiyo kwanza tunaanza. Na haturudi nyuma.
Kwa hiyo ni mnafik? Anauma huku anapuliza! Halafu unataka tumuenzi? Angeshinda Slaa bila shaka wengi wangetoka na kudai kuwa walikuwa wakimpigia debe chini chini. Wanafik watupu. Kama ni kweli unachosema kuhusu Makongoro basi ni uthibitisho kuwa hastahili kuenziwa. Baba yake wala asingejificha, angesema wazi wazi kuwa nani anaona anafaa.
Amandla.....