Vincent Nyerere, Ezekiah Wenje na John Heche wanaunguruma Sirari muda huu

Pamoja Kamanda Wenje...Jimboni kwako usihofu,tupo hapa mtaa wa Uhuru tunasababisha mida hii...no matata
 
Pamoja Kamanda Wenje...Jimboni kwako usihofu,tupo hapa mtaa wa Uhuru tunasababisha mida hii...no matata

huo ndo uzuri wa chadema kazi zinafanyika bila ya mtu kua na cheo,sisi tunapeana majukumu ya kutumikia wananchi ccm wao wanapeana vyeo
 
HUKU KWETU MUSOMA HAYA YANAJILI.
KWA MUSOMA MJINI
CCM waja na mbinu ya VIROBA
ORIGINAL.chama cha mapinduz kimekuja na
mbinu ya kugawa pombe aina ya viroba kwa
vijana ili wawapigie kula wajumbe na wenye
viti wao kupitia ccm.
akiongea na mwandishi wa musoma
yetu.mmoja wa mashabiki wa viroba vya ccm
amejikuta akisema"viroba tunakunywaaa,na
kula yangu hawapati ng'ooo hawa mb...zi
".aliongea huku akiwakashifu wagawa viroba
kwa kuthaminisha maisha ya watz na
viroba"wanatudharau sana hawa ccm."
pia baadhi ya vijana wamekuwa wakirubuniwa
kufanya fujo kwenye kampeni za vyama
pinzani."
USIKU
Wakati watu wa kupumzika makada wa ccm
kwao inakuwa kumekucha.wanatembelea
nyumba kwanyumba kugawa fedha kiasi cha
sh.5000 mpaka elfu 4.kwa kila mwenye umri
wa kupiga kula.lakini pamoja na haya
yote.MWITIKIO BADO NIMDOGO SANA KWA
CCM.CHADEMA kimeonekana kuimarika kila
kukicha na wajumbe wake wamezidi kung'aa
katika majukwaa ya kampeni.
wakati huo huo wanasiasa toka CCM
wameonesha kulewa madaraka na kwa kuvunja
sheria na katiba ya nchi na demokrasia pale
walipojinadi kuwa "lazima wagombea wake
watashinda kwa lazima kwani wao ndio wenye
nchi hii,kauli ambayo imewakera wapiga kula
ambao wanadai ni ya viongozi madicteta na
wasiofaa
"kipindi hiki ccm wakileta ulaghai wa kuiba kula
tutawashughulikia ipasavyo".anasema
bw.Chacha M.
Kutika
 
Kwa utaratibu huu mutamuua mzee wa Tembo na mjukuu wake kwa presha kama si kisukari.
 
Chadema jamani hizo sasa ni sifaa tuuu...kuweni na chembe ya huruma...wee wenje rudi mwanza hata aibu huoni jamani ..mtaua wazee wa watu kwa presha
 
Chadema jamani hizo sasa ni sifaa tuuu...kuweni na chembe ya huruma...wee wenje rudi mwanza hata aibu huoni jamani ..mtaua wazee wa watu kwa presha

....

attachment.php
 
Back
Top Bottom